BAKWATA walaani mauaji Palestine, wawataka Waislamu kuitumia Ijumaa kuiombea Palestine

America ameua malaki ya watu afghan ,Syria ,somalia ,Libya hamuon but waislam wakijidefend kosa
Ume-panic sana!!!

Huko kote ulikotaja hapa wewe ukionekana na hiyo ngozi yako ya mkaa watakuchukua mateka wakutangulize front line uwe dira yao kujua walipo maadui upigwe risasi ufe maana wanakuona nyani tu!
 
Hivi Bakwata mbona mauaji mengine yakitokea hatuwasikii wakilaani? Huko Nigeria Boko Haram wanaua watu hatujawasikia Bakwata wakilaani,mauaji ya kimbali ya Rwanda, Bakwata hatujawahi kuwasikia je hao sio binadamu ila Wapalestina ndio wanastahili peke yao.
Hao wapalestina ndiyo walio waletea imani hii wanayoswali leo so lazima wawaone kama mboni ya jicho!😬
 
Ni kweli. Ila technology ya hao majamaa nimeivulia kofia. Wangejua wasingewachokoza
😂😂😂 Sio mchezo mkuu, yani 90% ya mabomu yamevuiliwa,
Waislamu wakae kwa kutulia tuu mana wengi wao wanaleta mambo ya udini sehemu isiyohusika, Palestina watampiga Israel kwa kubahatisha tuu
 
Teh Teh Teh.....
IMG_20210520_204013.jpg
 
BAKWATA WAITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(BAKWATA) limelaani vitendo vya Israel kuua raia wasio na hatia wa Taifa la Palestine katika mgogoro ulioanza Mei 10, 2021

Wamesema vitendo hivyo vinakwenda kinyume na Misingi ya Haki za kibinadamu na kuwataka Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua

Pia wamewataka waislamu wote nchini Tanzania kutumia swala ya Ijumaa, Mei 21, 2021 kuiombea Palestina na kufanya dua za kunuti katika swala zote tano

#JamiiForums
View attachment 1791754
Jumuiya ya Kimataifani nani? Wao BAKWATA wamefanya nini kuwasaidia Wapalestina zaidi ya hili tamko?
 
Hivi kwani huko Gaza ni vita ya kidini?

Bakwata watulie tuu mana kule sio mambo ya dini.

Mbona kuna boko haram, alshabab, IS na wengineo wanashambulia, kuua na kubaka watu kwa kisingizio cha Uislamu lakini hawasemi chochote.
Vita vya kukaliwa kimamabavu na mtu ambaye akijisikia kukufanya chochote na wakati wowote ni mbaya zaidi ya hao wasakatonge uliowataja hapo.hao wapo huru lakini wameamua kujitoa ufahamu na kuuwana sababu za kijinga na kutaka utajiri.Ukitaka kujua hilo mtafute babu yako kama bado yupo akusimilie ilivyokuwa wakati wa mapambano ya kutaka uhuru.ni hivyo tu
 
Ni kweli kabisa makombola yangeipiga Israel tusiongeona kemeo lolote zaidi ya pongezi.
Kwa hasira ile iliyoonyeahwa na israel ni wazi makombora yamewapiga sana na athari ni kubwa pamoja na kwamba yapo yaliyozuiliwa.shida hawaachii habari zai kujulikana ulimwenguni vinginevyo watu wangelaani pia.habari tunazolishwa na za palestina tu ndomana watu wanalaani na kuona jamaa wanaumizwa.Muhimu ni kuwa na suluhisho la amani ya kudumu kwa kila mmoja aishi kwa kumuheshimu mwingine na kulinda haki za kila mtu tofauti na ilivyosasa israel akijisikia kufanya chochote anawafanyia wakireact balaa linakuwa kubwa zaidi.Amani haiwezi kupatikana kwa namna hii vizazi kwa vizazi
 
Oya wadau, leo nmechek hiyo Iron dome defense system ya Israel, aisee wenzetu wako serious kwenye mambo ya ulinzi sio utani maamae
 
Israel wanachokifanya soon dunia nzima inaenda kuwageuka.

Right now maelfu ya wakazi wa London wameandamana kwa ajiri ya Palestine huku wakiimba "free Palestine".

Wale wanaodhani hii vita ni 100% imekaa kidini na kushabikia kwa upofu wa dini amkeni alafu nendeni mkasome history.
 
Back
Top Bottom