BAKWATA walaani mauaji Palestine, wawataka Waislamu kuitumia Ijumaa kuiombea Palestine

Waache unafiki..lissu alimiminiwa risasi kama zote hawakusema chochote..wapinzani kutekwa..kubambikiwa kesi hawakusema walikaa kimya..sasa huko parestina kuna nini..kama sio unafiki tu ambao hata hawajui kama kuna Tanzania.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hawahawa Bakwata waliokuwa wakimuombea Mwenda pale Mzena na kitu kikavuta
ohhh.png
 
Wapuuzi kweli hawa! Zaidi ya wiki ya mauaji ya kutisha imekatika eti leo ndiyo wanaibuka! 😳
BAKWATA WAITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(BAKWATA) limelaani vitendo vya Israel kuua raia wasio na hatia wa Taifa la Palestine katika mgogoro ulioanza Mei 10, 2021

Wamesema vitendo hivyo vinakwenda kinyume na Misingi ya Haki za kibinadamu na kuwataka Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua

Pia wamewataka waislamu wote nchini Tanzania kutumia swala ya Ijumaa, Mei 21, 2021 kuiombea Palestina na kufanya dua za kunuti katika swala zote tano

#JamiiForums
View attachment 1791754
 
Waislamu wengi wanaoona Palestina wanaonewa ni wale walioona idadi kubwa ya mabomu ya hamas kuzuiliwa na Israel hiyo kitu imewauma sana ila mabomu yangewapata Israel basi wasingesema chochote.
Ni kweli kabisa makombola yangeipiga Israel tusiongeona kemeo lolote zaidi ya pongezi.
 
Stupid ,jumuia ya kimataifa ichukue hatua ,suluhisho liko kwenye quran u idioits nyerere puppets
 
Hawa viongozi wa dini ndio wanasababisha mgawanyiko mkubwa wa kidini kwenye huu mgogoro.

Huu mgogoro dini zingejiweka pembeni, yawezekana ungekuwa ushaisha.
Mgogoro ni wa kidin ,masjid al aqsa ni msikiti wa waislam so kadhia hii ingeenda kiislam ingeshaisha
 
Hivi kwani huko Gaza ni vita ya kidini?

Bakwata watulie tuu mana kule sio mambo ya dini.

Mbona kuna boko haram, alshabab, IS na wengineo wanashambulia, kuua na kubaka watu kwa kisingizio cha Uislamu lakini hawasemi chochote.
Wapi isis walibaka watu ewe blind followers wa media za kikafir ??
 
Hivi kwani huko Gaza ni vita ya kidini?

Bakwata watulie tuu mana kule sio mambo ya dini.

Mbona kuna boko haram, alshabab, IS na wengineo wanashambulia, kuua na kubaka watu kwa kisingizio cha Uislamu lakini hawasemi chochote.
America ameua malaki ya watu afghan ,Syria ,somalia ,Libya hamuon but waislam wakijidefend kosa
 
Vile vitendo vya hammas kurusha maroketi 4000 Israel na wameuawa waisrael 13 ni vizuri ? Mbona hawa bakwata hawalaani kuuawa kwa waisrael 13 na watoto 3 na maroketi ya hamasi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
BAKWATA WAITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(BAKWATA) limelaani vitendo vya Israel kuua raia wasio na hatia wa Taifa la Palestine katika mgogoro ulioanza Mei 10, 2021

Wamesema vitendo hivyo vinakwenda kinyume na Misingi ya Haki za kibinadamu na kuwataka Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua

Pia wamewataka waislamu wote nchini Tanzania kutumia swala ya Ijumaa, Mei 21, 2021 kuiombea Palestina na kufanya dua za kunuti katika swala zote tano

#JamiiForums
View attachment 1791754
Nimeamini bakwata ni kweli vilaza, hivi hawaoni hamas wanvyorushia raia wa Israel rockets ?
 
Acha wanyooshwe waache kuwachokoza Israel. Yerusalemu inafahamika ni ya Israel sasa wao wanapoitaka matokeo yake ndo hayo.

Mimi sitii neno, acha nikae kimya.
 
Vipi kitendo cha hamas kurusha zaidi ya makombola 4000 israel hawajakemea?
Wanakuja kulia lia huku ilhali uchokozi wameanza wenyewe.kupigana na usiyemweza ni uwendawazimu..Yale makombora ya Hamas yangepenya na kuua waisrael usingewaona hapa.wamezidiwa ujanja wanataka jikinga kwenye udini..yaani mbinu ya waisrael nimeipenda ..hakuna kujisumbua sijui kupeleka wanajeshi huko Palestina..kombora kikirushwa kutokea sehemu flani basi nasi tunatwanga hapo hapo ..likitokea magomeni nasi tunatwanga magomeni..kazi kwenu kulizuia letu kama tulivyozuia lenu
 
BAKWATA WAITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(BAKWATA) limelaani vitendo vya Israel kuua raia wasio na hatia wa Taifa la Palestine katika mgogoro ulioanza Mei 10, 2021

Wamesema vitendo hivyo vinakwenda kinyume na Misingi ya Haki za kibinadamu na kuwataka Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua

Pia wamewataka waislamu wote nchini Tanzania kutumia swala ya Ijumaa, Mei 21, 2021 kuiombea Palestina na kufanya dua za kunuti katika swala zote tano

#JamiiForums
View attachment 1791754
Tanzania ni nchi isio fungana na upande wowote nyie lianzishe. Tu mtalinywa
 
Kuchelewa Tamko la Bakwata kuhusu Masheikh wa Uamsho kwa miaka 8 tatizo ni 'Printer' au 'Catridge'?
Bakwata wanafki sana..wanaacha kukemea maovu ya ndani ya nchi ..ambapo walau watawala watawasikia wanakemea mambo ya Palestina ..tamko lao hata hapo pwani halijafika
 
Vile vitendo vya hammas kurusha maroketi 4000 Israel na wameuawa waisrael 13 ni vizuri ? Mbona hawa bakwata hawalaani kuuawa kwa waisrael 13 na watoto 3 na maroketi ya hamasi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Yaani hawa watu mataahira kweli..uchokozi wameanza wenyewe.baada ya kushiba daku wakaanza kurusha makombora yao..mengi yakadakwa ..walitegemea waisrael wakae kimya wakati uwezo wa kukutwanga wanao .na sababu umempatia mwenyewe?
 
Back
Top Bottom