BAKWATA ni chombo cha serikali?

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
353
198
Bakwata kwa kiingereza ni "National Muslim Council Tanzania"
Nauliza:
Jee hichi ni chombo cha serikali ?
kama ndiyo ile kauli ya serikali haina dini vipi!
kama ndiyo kwa nini wale wanao pinga mahakama ya kadhi hawapingi na hii?

kwa nini viongozi wake wana chaguliwa na serikali?

Jee ipo National council ya dini nyingine?
Na kama hakuna kwanini?

Kuwasilisha hoja
 
Back
Top Bottom