Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 842
- 2,467
Bagonza na Mwamakula wanatoa mawazo binafsi sio ya makanisa yao wanayoongoza.Askofu Bagonza (PhD) na Askofu Mwamakula wameonyesha kumuunga mkono Lissu mbeba maono.
Na hata pale TEC wapo mapadri wengi Sana wenye mrengo wa kumuunga mkono Mh Lissu, kanisa Katoliki halipendezwi na siasa zinazoendeshwa na Chama Cha mapinduzi chini ya dikteta Magufuli.
Hivi MNA kwama wapi katika matumizi bora ya akili zenu?