BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
825
1,000
Askofu Bagonza (PhD) na Askofu Mwamakula wameonyesha kumuunga mkono Lissu mbeba maono.

Na hata pale TEC wapo mapadri wengi Sana wenye mrengo wa kumuunga mkono Mh Lissu, kanisa Katoliki halipendezwi na siasa zinazoendeshwa na Chama Cha mapinduzi chini ya dikteta Magufuli.
Bagonza na Mwamakula wanatoa mawazo binafsi sio ya makanisa yao wanayoongoza.
Hivi MNA kwama wapi katika matumizi bora ya akili zenu?
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,470
2,000
Bagonza na Mwamakula wanatoa mawazo binafsi sio ya makanisa yao wanayoongoza.
Hivi MNA kwama wapi katika matumizi bora ya akili zenu?
Hao ni viongozi wa kiroho automatically wakitoa hayo maoni wamewakilisha jumuiya zao.

Hata akitokea Raisi wa TEC askofu mkuu Nyaisonga kitoa maoni yake binafsi ya kumuunga mkono Dikteta Magufuli of course hapo Ni tec imetoa msimamo wake kupitia Askofu.
Na ndio maana halisi ya kanisa kukataa kuchanganya dini na siasa.

Ni wajinga wachache wasiojua BAKWATA ni kitengo Cha CCM kutoa propaganda za kishenzi chini ya mwavuli wa dini ya kiislamu.
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,479
2,000
Bakwata, CCT na TEC ni taasisi zinazofanya kazi chini ya Jatibu wa NEC (itikadi na uenezi)

Jana ulikuwa mufti, leo wao hata hawawazi juu ya masheikh walioko kizuizini.
Wanaunga mkono mtu anaesababisha kupungua kwa sadaka makanisani na misikitini Wana akili Hawa kweli.Waumini gomeni kutoa sadaka wafe njaa Hawa vibaraka
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,031
2,000
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.

Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...
Nilikuwaga najua waislam sio wanafiki kumbe bora sisi
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Mwaka huu hakuna polisi ,wala jeshi wala Bakwata wala kanisa wala msikiti wala yeyote aneiunga mkono CCM.

Wananchi walio wengi wemeshaichoka CCM,kumbuka wananchi na katika hivyo vitajwa hapo pia ni wananchi.

CCM inakufia mikononi ma Katibu Mkuu Nd.Bashiru na Tariq Azizi aka Polepole. Tunaona wanavyokwenda mbio wanazima moto kwa mabomu.
 
Six moth

JF-Expert Member
Aug 19, 2020
453
500
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.

Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...
Lete habari ya maana kwani hujui bakwata kuwa nitawi la ccm limejivika joho lausilamu ilikuiangamiza dini jiulize kama ingekuwa ni chombo cha waislam nilini waislam kwa ujumla wao tukakubaliana tumuunge mkono yupi naomba na taasisi zingine ziwe wazi ila siombaya bakwata viongozi wawaunge mkono ccm ila waumini we kislam kilammoja achague anakokutaka
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,736
2,000
Askofu Bagonza (PhD) na Askofu Mwamakula wameonyesha kumuunga mkono Lissu mbeba maono.

Na hata pale TEC wapo mapadri wengi Sana wenye mrengo wa kumuunga mkono Mh Lissu, kanisa Katoliki halipendezwi na siasa zinazoendeshwa na Chama Cha mapinduzi chini ya dikteta Magufuli.

Mkuu, simama uwe tofauti (stand out). Mtu mmoja mmoja anaweza kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea. Taasisi anayotokea haipaswi kuwa na mrengo!! So, sheikh au kasisi kuwa na mapenzi na mgombea sio sawa na Bakwata au TEC kuwa na mapenzi namgombea.

Usiyafanya hayo kuwa jambo moja!
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,940
2,000
Bakwata na Uislam ni vitu viwili tofauti kabisa, huwa nahuzunika sana Uislam unapokashifiwa kwa kuhusishwa na kikundi hiki
Kirefu Cha Bakwata Ni

Baraza Kuu La Waislam Tanzania.

Jitahidi Kuondoa neno Waislam hapo.

Usituite sisi kikundi.sisi Ni Baraza Kuu la waislam wa Tanzania.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,272
2,000
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.

Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...
Bakwata DSM yenyewe bado haijatangaza

1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,794
2,000
Ala kumbe BAKWATA nao ni chama cha siasa ...

Safi sana ... kwa hiyo CCM sasa inaungwa mkono rasmi na vyama 3 yaani BAKWATA; UDP na TLP.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom