BAKWATA Kumbe ni Kweli Kuwa Hampo kwa Maslahi ya Waislamu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,318
72,742
Tumeona kuwa mko mstari wa mbele kusifia tuu serikali hata isipostahili mkiongozwa na Sheikh wa DSM na kuacha kutetea viongozi wa kiislamu na waumini mpaka dini zingine zinasikia huruma na kujitolea kuwasemea. Hamuoni Aibu?
63d6defcfe211248f04b808dfae2f892.jpg
 
Wewe na akili zako. Yaani Tanzania ina maaskofu 2,000?
 
Eee Mwenyezi Mungu na Utukuzwe kupitia viongozi hawa. Tunakuomba uweke mkono wako ili haki itendeke. Manyanyaso na dhuluma zishindwe kwa Jina Yesu.
 
Tumeona kuwa mko mstari wa mbele kusifia tuu serikali hata isipostahili mkiongozwa na Sheikh wa DSM na kuacha kutetea viongozi wa kiislamu na waumini mpaka dini zingine zinasikia huruma na kujitolea kuwasemea. Hamuoni Aibu?
63d6defcfe211248f04b808dfae2f892.jpg

Mbona na wewe upo mstari wa mbele kupinga tu. Hujawahi kusifia hata siku moja?
 
Tumeona kuwa mko mstari wa mbele kusifia tuu serikali hata isipostahili mkiongozwa na Sheikh wa DSM na kuacha kutetea viongozi wa kiislamu na waumini mpaka dini zingine zinasikia huruma na kujitolea kuwasemea. Hamuoni Aibu?
63d6defcfe211248f04b808dfae2f892.jpg
Wakikosoa serikali hamchelewi kuingia misikitini kupiga mabomu bora wasifie.kumbuka masheikh wa mombasa walivyonyamazishwa na wengine kuuawa.
 
tatizo la masheikh wengi ni akina BASHITE style yaaani elimu ya kuungaunga na unafiki wakutosha....ndio maana MACCM hawapati shida kabisa jinsi ya kuwarubuni!!!!.kama unabisha subiri sikukuu ya idd wakipewa nyama ya ngamia kila sheikh kilo 10 basi umeshawamaliza au biriani na ndizi mbivu tu kwisha kabisa
 
Tumeona kuwa mko mstari wa mbele kusifia tuu serikali hata isipostahili mkiongozwa na Sheikh wa DSM na kuacha kutetea viongozi wa kiislamu na waumini mpaka dini zingine zinasikia huruma na kujitolea kuwasemea. Hamuoni Aibu?
63d6defcfe211248f04b808dfae2f892.jpg
Shehe wa BAKWATA Dsm anashinda ofisini kwa makonda Bashite mda mwingi amepewa Rushwa na GSM sasa ni mtumishi wao.
 
Hao watakua ni wale wa kikundi cha Uamsho kule Zanzibar.

Nafikiri mashtaka yao yanahesabika kama UHAINI!

Jaribuni kutafuta maana ya neno hilo, historia au rekodi za kesi kama hizo. Nafikiri mtapata majibu
 
tatizo la masheikh wengi ni akina BASHITE style yaaani elimu ya kuungaunga na unafiki wakutosha....ndio maana MACCM hawapati shida kabisa jinsi ya kuwarubuni!!!!.kama unabisha subiri sikukuu ya idd wakipewa nyama ya ngamia kila sheikh kilo 10 basi umeshawamaliza au biriani na ndizi mbivu tu kwisha kabisa
wakati mwingine huwachanganyia nyama za kitimoto humo humo pasipo kujua lakini hula kwa kuwa zimeletwa na CCM na GSM na akina Bashite
 
Makao makuu ya bawata yatolewe dar, hao viongozi wanajua kucheza bao tuuuu hamna chamaana wanaweza fanya zaidi kula pesa za ccm kishabiki. Thats it!!
 
Back
Top Bottom