ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,461
waungwana tumuombee sana bakulutu anaumwa sana tena sana kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu anasema amelazwa tumbi kibaha kwa yeyote anayetaka kumuona aende pale tumbi au awasiliane nami au ruttashobolwa kwa ajili ya kwenda huko kumuona jamani wanajf tumuombee kwa dua na sala zetu zote mungu amponye.