Bakulutu anaumwa sana tumuombee

Status
Not open for further replies.

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
waungwana tumuombee sana bakulutu anaumwa sana tena sana kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu anasema amelazwa tumbi kibaha kwa yeyote anayetaka kumuona aende pale tumbi au awasiliane nami au ruttashobolwa kwa ajili ya kwenda huko kumuona jamani wanajf tumuombee kwa dua na sala zetu zote mungu amponye.
 
Mungu amuondolee maradhi yote na kumrejeshea afya na nguvu zake.
 
waungwana tumuombee sana bakulutu anaumwa sana tena sana kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu anasema amelazwa tumbi kibaha kwa yeyote anayetaka kumuona aende pale tumbi au awasiliane nami au ruttashobolwa kwa ajili ya kwenda huko kumuona jamani wanajf tumuombee kwa dua na sala zetu zote mungu amponye.

sawa tumepokea habari za ugonjwa. Tunamuombea kwa mwenyezi mungu. Lakini hii mada hapa si mahala pake. Hapa ni Jamii intelligence. Ni hayo tu.
 
Jamii intelligence: Serious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss
 
Pole zimfikie. Next time post ktk forum husika na pia toa info kidogo za mhusika kuliko hii, sio wote wanamjua kila member. Wengine hatupendi kuwaombea mafisadi...
 
Mod wapo msibani. ila hii iende jukwaa husika.

sasa unakuja tu na jina Bukulutu amaumwa, hatumjui

Eti babaake senkoro. nani anamjua senkoro sasa

au ndio kuchanganyikiwa kwenyewe?
 
ndugu yangu hii habari ilishapita muida mrefu na ameshapona muda mrefu wewe kibeneke chako chakuwasha sijui nn mpaka unakomalia kitu kisichokuhusu yatakushinda tena sana mwanaume sio mbea na waonyesha kuwa libeneke likubwa sana
 
yaani kumbe hapa watu wanatoa pole za kinafi kumbe mtu ashaa pona!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom