Tiba (Nafikiri ni Dada-kama sivyo kumradhi) sasa maungo tena yafichwe . Si suruali imeyaficha?Sio kweli kwamba Sudan wanawake hawaruhusiwi kuvaa suruali. Suruali wanavaa karibu wanawake wote isipokuwa inabidi wavae na magauni makubwa ambayo hayaruhusu viungo vya mwili kuonekana. Nimewahi kuishi Sudan na nina uhakika na ninachoandika hapa. Hawa waliopigwa bakora nadhani walivaa jeans na halafu hawakuvaa gauni kuficha maungo.
Tiba