Bakora Zatembea Kwa Wanawake Wanaovaa Suruali nchini Sudan

Amani iwe juu yako ndugu Kituko,

Elimu na utumiaji wa akili ni vitu 2 muhimu sana, ndugu Kituko, wasudani sio waarabu lakini wanaongea tu lugha ya kiarabu hata Raisi Omar Bashiri sio mwarabu yeye asili yake ni mwafrika anaye ongea kiarabu, sisi waafrika tunachonganishwa sisi kwa sisi bila ya kujitambua tunawauza ndugu zetu wazima wazima!! Wapo maadui zetu wanaotaka sisi waafrika tuwe nyuma daima bila maendeleo yeyote. kama hauniamini kuwa wasudani ni waafrika kama sisi walenganishe na wamisri utaona tofauti ya rangi zao (wamisri weupe lakini wasudani weusi), wasudani wanaongea kiarabu lakini sio waarabu ni waafrika kama sisi.

Asante.
Wamisri si Waafrika (alama ya mshangao) Kuwa mweusi ni Uafrika(alama nyingine ya mshangao)... Dakika chache za kufikiri Kidogo... nahisi kama akili imedata...!

Baadae kidogo nagundua kuwa kumbe hii ni jamii forum... The Home Of Great sinkers... I mean Thinkers sorry.
 
Kuna kitu kinaitwa muonekano (appearence) na nationalist (Utaifa). Sasa wa Misri wanavyoonekana waarabu kama walivoumbwa na mola ingawa wapo katika bara la Afrika. lakini tukizungumzia wanapatkana wapi basi hapo unaaita waafrika.

Sasa jaribu kuelewa lengo la mwandishi hapo
 
Kaka wamisri ni wakibti (Coptic) tena ni taifa lililoko tangia enzi ya Nabii Ibrahim (as)... Kwa ufupi kabla ya kuwepo Waarab na Wayahudi...! Watu wamewapa Uarabu na wao wakaamua kuuendeleza.
 
Kaka wamisri ni wakibti (Coptic) tena ni taifa lililoko tangia enzi ya Nabii Ibrahim (as)... Kwa ufupi kabla ya kuwepo Waarab na Wayahudi...! Watu wamewapa Uarabu na wao wakaamua kuuendeleza.
__________________

Ngoja nikupe kidogo historia ya wa misri. Hili ni taifa lililokueka kabla ya Nabii i Ibrahim, na asili yao inatokana na makabila matatu, Al shaim ( mpaka leo wanatoka sehemu za alek zandria) Al maid ( wanaotoka kusini) na al miskry ( ambao ni majority wanaotokea Central na ndio wengi).

kabila hili halikuanza kabla ya waarabu wala manaswala, ni kabila lililojitokeza miongoni mwao na asili yao ni sham.

Ukitaka kujua vzr asli yao soma kitabu cha kisas al miskry ( Kisa cha wamisri) kipo cha kiarabu na kile cha kiingereza.
 
Sikukatalii hayo uliyo yanukuu hapo, ila sasa tukija kwenye maandiko tunamkuta mke wa pili wa Nabii Ibrahim, Hagar kuwa alitokea Misri na kwenye baadhi ya vitabu vya dini wamemwita kwa jina la Hagar the Egyptian.

Je hii imekaaje?Je kizazi hiki cha kina Hagal kilipotea?
 
Hata hawa mnaowaiga, mnaofikiri wameendelea pia wanaona umuhimu wa anayofanyika Sudan

Soma;

The 22-year-old prison officer claims the Prison Service effectively sacked her from Brinsford, a male juvenile and young offenders' institute, UK

It was suggested that Miss Kajla dressed provocatively on the prison site and that inmates would "definitely" have been able to see what she was wearing through slats in the cell doors.

source Metro.UK
 
mbona kenya na uganda zipo mahakama za kadhi lakini hao hayajatokea?.

Mbona zanzibar ipo mahakama ya kadhi mbona hayo hayajatokea?

Tuacheni kasumba za kikoloni za kuendekeza udini. Kumbuka kasumba hizo zililetwa na waingereza. Wao walitumia divide and rule system katika kuitawala east africa. Kule kenya na uganda ambako kulikuwa na makabila machache walitumia ukabila kuwagawa na kuwatawala.

Tanganyika kulikuwa na makabila mengi sana alitumia udini kututawala.

Sasa wengi wameathiliwa na hizo ni athari za utawala wa kiingereza ndani ya tanzania, kenye na uganda.

inamaanisha hizo mahakama hazifanyi kazi vizuri kama zingekuwa zinafuata sheria wangetakiwa kuwachapa watu bakora
 
Wamisri si Waafrika (alama ya mshangao) Kuwa mweusi ni Uafrika(alama nyingine ya mshangao)... Dakika chache za kufikiri Kidogo... nahisi kama akili imedata...!

Baadae kidogo nagundua kuwa kumbe hii ni jamii forum... The Home Of Great sinkers... I mean Thinkers sorry.

Kaka wamisri ni wakibti (Coptic) tena ni taifa lililoko tangia enzi ya Nabii Ibrahim (as)... Kwa ufupi kabla ya kuwepo Waarab na Wayahudi...! Watu wamewapa Uarabu na wao wakaamua kuuendeleza.

Ilmu ya madrasa ni mbaya sana kwa jamii na bin adam.
 
Wamisri si Waafrika (alama ya mshangao) Kuwa mweusi ni Uafrika(alama nyingine ya mshangao)... Dakika chache za kufikiri Kidogo... nahisi kama akili imedata...!

Baadae kidogo nagundua kuwa kumbe hii ni jamii forum... The Home Of Great sinkers... I mean Thinkers sorry.

Asalam Alaikum Ndugu X- Paster naona hauja nifahamu,

Mimi sijakusudia kuwa misri haipo Afrika, niliandika hivi "Wasudani ni waafrika kama sisi" nakusudia kuwa wasudani ni weusi kama sisi. hii ilikuwa ni jawabu la ndugu Kituko alipo sema kuwa Sudan imevamiwa na kutawaliwa na waarabu, mimi ndio nikamjibu kuwa wasudani hawakutawaliwa na waarabu na wasudani wote ni waafrika hamna mwaarabu alio watawala wasudani, na kama wanao ongoza Sudan ni waarabu basi wangekuwa weupe sio weusi kama sisi, huu ndio ukweli (Wasudani ni waafrica kama sisi na wapo huru kama sisi hawakutawaliwa na waarabu wala wao sio waarabu).

Dini au Lugha haimbadilishi mtu Asili yake.

Wasudani ni waafrika wanao ongea lugha ya Kiaarabu.

Kwa mfano, Raisi wetu anajua kuongea kizungu lakini sio mzungu.

Shukran, Jazakallahu Khairan.
 
Last edited:
Asalam Alaikum Ndugu X- Paster naona hauja nifahamu,

Mimi sijakusudia kuwa misri hawapo Afrika, niliandika hivi "Wasudani ni waafrika kama sisi" nakusudia kuwa wasudani ni weusi kama sisi. hii ilikuwa ni jawabu la ndugu Kituko alipo sema kuwa Sudan imevamiwa na kutawaliwa na waarabu, mimi ndio nikamjibu kuwa wasudani hawakutawaliwa na waarabu na wasudani wote ni waafrika hamna mwaarabu alio watawala wasudani, na kama wanao ongoza Sudan ni waarabu basi wangekuwa weupe sio weusi kama sisi, huu ndio ukweli (Wasudani ni waafrica kama sisi na wapo huru kama sisi hawakutawaliwa na waarabu wala wao sio waarabu).

Dini au Lugha haimbadilishi mtu Asili yake.

Wasudani ni waafrika wanao ongea lugha ya Kiaarabu.

Kwa mfano, Raisi wetu anajua kuongea kizungu lakini sio mzungu.

Shukran, Jazakallahu Khairan.
Wa 'Alaikums Salam Wa Rahmatullahi Wa Barakatuh."

Masha'Allah, Nimekuelewa ndugu yangu... Shukran kwa ufafanuzi wako.

Baraka Allahu Fik
 
Hongera Sudan kwa kuwalinda wanawake zenu, msikubali wafanywe Sex toys, the end of the day health hazad will cost your country

Wasikilize wataalam;

Over the last several years, experts say they’ve been seeing more young women at a healthy weight complain of nerve damage symptoms. The culprit: too-tight jeans.

Jeans have been considered a health hazard. The super low-rise jeans that were especially popular in the late 90s and 2000s were also linked to meralgia paresthetica.

Ghoman’s skin-tight denim may have caused a temporary bout of a nerve condition called meralgia paresthetica, also known as “tingling thigh syndrome
 
Hakuna ubaya wowote mwanamke kuvaa suruali,ndio maana kuna pants za kike na kiume,ilimradi lisiwe la kutight sana.
 
Asalam Alaikum Ndugu X- Paster naona hauja nifahamu,

Mimi sijakusudia kuwa misri hawapo Afrika, niliandika hivi "Wasudani ni waafrika kama sisi" nakusudia kuwa wasudani ni weusi kama sisi. hii ilikuwa ni jawabu la ndugu Kituko alipo sema kuwa Sudan imevamiwa na kutawaliwa na waarabu, mimi ndio nikamjibu kuwa wasudani hawakutawaliwa na waarabu na wasudani wote ni waafrika hamna mwaarabu alio watawala wasudani, na kama wanao ongoza Sudan ni waarabu basi wangekuwa weupe sio weusi kama sisi, huu ndio ukweli (Wasudani ni waafrica kama sisi na wapo huru kama sisi hawakutawaliwa na waarabu wala wao sio waarabu).

Dini au Lugha haimbadilishi mtu Asili yake.

Wasudani ni waafrika wanao ongea lugha ya Kiaarabu.

Kwa mfano, Raisi wetu anajua kuongea kizungu lakini sio mzungu.

Shukran, Jazakallahu Khairan.
Mkuu, uarabu siyo ngozi (yaani kuwa na ngozi nyeupe). Uarabu ni asili ya watu, ni ethnic group. Wala uafrika siyo ngozi (weusi). Ni asili. Ukisema weusi ndiyo uafrika unakuwa umekosea kwa sababu hata India kwa mfano wapo wahindi weusi tii kuliko hata sisi. Hao utawaita waafrika?
 
Hakuna ubaya wowote mwanamke kuvaa suruali,ndio maana kuna pants za kike na kiume,ilimradi lisiwe la kutight sana.

Sasa hiyoapo juu unasemaje? si iko tight na inaleta ugonjwa kutokana na wataalam wa fya wanavyosema? Au?
 
Sasa hiyoapo juu unasemaje? si iko tight na inaleta ugonjwa kutokana na wataalam wa fya wanavyosema? Au?
wewe Bwana una matatizo ya kisaikologia. sasa hapo picha ya juu kuna tatizo gani suruali si imefukika kila kitu kinachotakiwa kusitiriwa.Macho yako yakiona Mlima unashtuka -yakhe?
 
Mkuu, uarabu siyo ngozi (yaani kuwa na ngozi nyeupe). Uarabu ni asili ya watu, ni ethnic group. Wala uafrika siyo ngozi (weusi). Ni asili. Ukisema weusi ndiyo uafrika unakuwa umekosea kwa sababu hata India kwa mfano wapo wahindi weusi tii kuliko hata sisi. Hao utawaita waafrika?
Wale wahindi (!?) weusi wa India wana asili ya Afrika, ndio maana kwa kule India wanadharaulika sana, yaani wapo daraja la chini kabisa na wengi wao ni maskini.[SIZE=+1]

CASTE AND RACE IN INDIA
[/SIZE]
 
Hivi wewe tatizolako ni shara law? Sharia Law=Katiba. ni katiba ya nchi inayolinda pia tamaduni na social justice.

Hiyo sheria ya kulinda tamaduni zao zinawasaidia wa-Sudan kutoingia kwenya balaa la ukinmwi ambao sisi waafrica tumesha ingizwa mkenge kwa kuiga mambo ya west ambayo wewe unadhani ni MAENDELEO NA FREEDOM. Nchi zote zinazolinda tamaduni kama hizi za sudani, zimesalimika na ukimwi

Bull,

Nani amekudanganya kwamba Sudan hakuna ukimwi!!! Nafikiri hauna uhakika na unachokisema. Sudan kuna ukimwi kama nchi nyingine yoyote ya Africa!!! Na maduka yote ya madawa yanauza condom kama sehemu nyingine yoyote na kwa uwazi. Unafikiri ni kwa nini hawa wafuata sharia law wanaruhusu Condom kuuzwa hadharani? Tafuta jibu.

Tiba

Tiba
 
I’m totally disappointed with Kituko, ina maana huyu ndugu hajui nguo za kiume ni zipi na za kike ni zipi au ni uzembe wa kufikiri umemshika kipindi akichangia hii maada?
Anyway inabidi tuishi kwa kufuata kanuni, sheria na taratibu za nchi au sehemu husika, kama ukienda sehemu ukute watu hawali mbwa, acha kula na kama unataka kula hama hiyo sehemu ukale hizo mbwa zako huko,Sudan ni marufuku kwa wanawake kuvaa suruali, kitendo cha kuvaa ni kuvunja sheria na kanuni hivyo anastahili adhabu hata kama siyo bakora,kama hujui nguo za kiume na kike ni zipi kama ni mwanaume vaa hijabu, ndo utajua tofauti.kwanza siyo busara kwa wanawake kukuta wamevaa suruali, mwanamke aliumbwa ili aweza kuvaa nguo za kuweza kumweka free na siyo kumbana. Utafiti wa kitaalam uliofanyika nchini marekani, mwamake anayevaa suruali za kubana muda wote umbo lake linabadilika na kuwa kama la simba, totally uzuri wake na umbo lake linapotea na kupata magonjwa kwenye mfumo wa uzazi.I’m completely discouraging those women who dress in trousers..

Sio kweli kwamba Sudan wanawake hawaruhusiwi kuvaa suruali. Suruali wanavaa karibu wanawake wote isipokuwa inabidi wavae na magauni makubwa ambayo hayaruhusu viungo vya mwili kuonekana. Nimewahi kuishi Sudan na nina uhakika na ninachoandika hapa. Hawa waliopigwa bakora nadhani walivaa jeans na halafu hawakuvaa gauni kuficha maungo.

Tiba
 
Back
Top Bottom