GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,861
Nimekuwa nikiwasikia Wanaume wengi sana wakisema hii sentensi ambayo nainukuu hapa " Nimezaa Watoto wawili " na Wanaume wengi sana huwa wanaisema hii katika maeneo mbalimbali na hata katika Familia zetu hii kauli imekuwa ikisikika mno ila kwa binafsi yangu naona kama vile ina ulakini.
Kipi ni Kiswahili sahihi hapa kwa Mwanaume kusema kama akiwa ana Watoto?
a) ' Nimezaa Watoto wawili '
b) ' Nimejaaliwa Watoto wawili '
c) ' Nimebahatika kupata Watoto wawili '
d) ' Mke / Mpenzi wangu kanizalia Watoto wawili '
Nitashukuru nikielimishwa juu ya hili ila na Watu wa BAKITA ( Baraza la Kiswahili Tanzania ) watusaidie katika hili kwani kwa Sisi Watu wa Mikoa ya Pwani huwa tunashtuka sana pale tukiwa tunawasikia Wanaume wenzetu hasa wale ' Wakuja ' kutoka mingine wakisema tena bila wasiwasi kabisa huku wakitiririka na kuserereka kwamba ' wamezaa Watoto wawili '.
Nawasilisha.