BAKITA tusaidieni Kiswahili fasaha hapa ni kipi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Nimekuwa nikiwasikia Wanaume wengi sana wakisema hii sentensi ambayo nainukuu hapa " Nimezaa Watoto wawili " na Wanaume wengi sana huwa wanaisema hii katika maeneo mbalimbali na hata katika Familia zetu hii kauli imekuwa ikisikika mno ila kwa binafsi yangu naona kama vile ina ulakini.

Kipi ni Kiswahili sahihi hapa kwa Mwanaume kusema kama akiwa ana Watoto?

a) ' Nimezaa Watoto wawili '
b) ' Nimejaaliwa Watoto wawili '
c) ' Nimebahatika kupata Watoto wawili '
d) ' Mke / Mpenzi wangu kanizalia Watoto wawili '

Nitashukuru nikielimishwa juu ya hili ila na Watu wa BAKITA ( Baraza la Kiswahili Tanzania ) watusaidie katika hili kwani kwa Sisi Watu wa Mikoa ya Pwani huwa tunashtuka sana pale tukiwa tunawasikia Wanaume wenzetu hasa wale ' Wakuja ' kutoka mingine wakisema tena bila wasiwasi kabisa huku wakitiririka na kuserereka kwamba ' wamezaa Watoto wawili '.

Nawasilisha.
 
b
 
Eti kutiririka na kuserereka hahahaaaa,mkuu hapo wa mikoani tunasema 'nimepata watoto' sio nimezaa.Ama 'nimebahatika' nk....maana sio wote wetu wanawake hawa wana siri mbaya sana ogopa,haya kamwambie na meja jenerali kule.
 
Nimekuwa nikiwasikia Wanaume wengi sana wakisema hii sentensi ambayo nainukuu hapa " Nimezaa Watoto wawili " na Wanaume wengi sana huwa wanaisema hii katika maeneo mbalimbali na hata katika Familia zetu hii kauli imekuwa ikisikika mno ila kwa binafsi yangu naona kama vile ina ulakini.

Kipi ni Kiswahili sahihi hapa kwa Mwanaume kusema kama akiwa ana Watoto?

a) ' Nimezaa Watoto wawili '
b) ' Nimejaaliwa Watoto wawili '
c) ' Nimebahatika kupata Watoto wawili '
d) ' Mke / Mpenzi wangu kanizalia Watoto wawili '

Nitashukuru nikielimishwa juu ya hili ila na Watu wa BAKITA ( Baraza la Kiswahili Tanzania ) watusaidie katika hili kwani kwa Sisi Watu wa Mikoa ya Pwani huwa tunashtuka sana pale tukiwa tunawasikia Wanaume wenzetu hasa wale ' Wakuja ' kutoka mingine wakisema tena bila wasiwasi kabisa huku wakitiririka na kuserereka kwamba ' wamezaa Watoto wawili '.

Nawasilisha.
shemeji aushi vitukuko.unaogopa kuzaaa
 
Kwani ukimwambia mtu nimezaa watoto wawili ushaona mtu hajaelewa? mbona ninyi msiojua kiswahili fasaha mnasema ng'ombe zetu, badala ya ng'ombe wetu, zimezaa, badala ya wamezaa? na wenye kujua lugha tunawaangalia tu...
Mm wananikera kwa kweli....eti samaki zile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom