Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,558
- 112,516
Najua mwanamke anajifungua, mnyama ndio anazaaMwanamme hazai bali anasababisha mimba. Anayezaa ni mwanamke.
Najua mwanamke anajifungua, mnyama ndio anazaaMwanamme hazai bali anasababisha mimba. Anayezaa ni mwanamke.
Thanks for your inputs, hayo ni kutokans na mazoea ya kutumia maneno iterchangebly (kuzaa/kujifungua; kufa/kukata roho; hayati/marehemu etc )Najua mwanamke anajifungua, mnyama ndio anazaa
Mbona nyinyi kina mama mnaipenda lugha ya "mtoto wangu"?Mtoto akizaliwa mseme, mke au mpenzi wangu amejifungua mtoto wetu.
Sent from my SM-N900L using JamiiForums mobile app
Umewapata wapi, hapo ndio kwenye utata.Jibu ni "Nina watoto wawili"