Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Sometimes it needs to be intelligent to understand the intelligent person-Mwanafalsa wa mtandaoni.mbona swali jepesi kabisa mkuu.
1. mlimpinga vikali EL na hata mkashinikiza ajiuzuru wadhifa wake kama PM na ikawa hivyo, lakini mliumbuka pale mlipompa ridhaa ya kupeperusha bendera yenu!
2. mlipinga vikali safari nyingi za nje kwa viongozi, mmeumbuka pale mnapokuwa wa kwanza kuhoji mbona mkuu hasafiri?
3. kwa kutumia akili ya kawaida tu unatakiwa kufahamu kwamba, mwanasheria wenu amejiumbua mwenyewe kwa kuipinga ripoti ya prof. Mruma, kwa sababu alinukuliwa na mitandao ya kijamii akisema `pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na tume' au `mpunga 'ulikuwa bado haujaingia? Sasa mleta uzi sina hakika kwamba hivi vitu huvijui.
May be CCM are not intelligent enough to understand the opposition.