Bajeti ya Zanzibar yawasilishwa siku moja na Bajeti ya Chama cha Upinzani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya Zanzibar yawasilishwa siku moja na Bajeti ya Chama cha Upinzani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Manyanza, Jun 17, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Juzi nikiwa katika mizunguko yangu ya hapa na pale nikapokea ujumbe mfupi kutoka kwa mzee ananiambia Anaingia kwenye kikao cha Bajeti Bungeni, nilijiuliza maswali ina maana keshafika Dodoma mara hii, wakati asubuhi saa mbili tumetoka wote nyumbani, Yeye ni Mchumi katika Bank Kuu Tawi la Zanzibar,
  Swali langu hapa kwanini Zanzibar hawakuwasilisha Bajeti yao pamoja na nchi nyigine za Afrika mashariki wakaja kuwasilisha wiki moja mbele?
  nilijaribu kumdadisi mzee wangu lakini hakuwa tayari kunieleza chochote,
  je ku na yeyote humu Jamvini anajua au ana taarifa zozote kuhusu hii ishu?
   
 2. BWANYEENYE

  BWANYEENYE Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 2, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona heading haiendani na maana ya ulichokiandika au sijaelewa vizuriii???
   
Loading...