Baada ya waziri wa ulinzi kuitetea vizuri na kwa kujiamini bajeti ya wizara yake hatimaye bajeti hiyo imepita kwa kishindo huku kura za siyo zikisikika kama tatu tu kwa mujibu wa naibu spika ngoja tuzidi kufuatilia kwa undani tuone nini kingine kilijili wakati wa mahitimisho ya mheshimiwa waziri Hussein Mwinyi