Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

wabunge wetu wengi huwa wanaponda, wanabwabwajaaaa... halafu mwisho wanachanua

enuf of it oready
 
Hivi Mwenyekiti wa kamati ya wizara hii ni nani?na wenzie ni akina nani? ..lazima watakuwa wamekula ka....billioni hao, Unajua namkumbuka marehemu Faresi Kabuye aliyewahi kusema kuwa "wabunge wengine ni kama kuku kwani wakiingia kulala hapohapo wanakunya mavi asubuhi wanatoka kwenda machungani usiku wanaingia mlemle walimokunya usiku"
Ni Serukamba wa Kigoma Mjini
 
Ndo kinachotakiwa wabunge kuwa pamoja kwa ajili ya maslahi ya TAIFA
 
Deo sanga anazungumzia kuhusu UDA lakini ameomba viwanja vya ndege njombe na iringa vitengenezwe,

pia hajaona bajeti ya kununua wala kukarabati boti wala meli kwa watu wa nyasa.

Na yeye anasema ataunga mkono hoja kama wataongeza fedha.

Hii yangu: Mkuu wa nchi wakati wa kampeni si alisema atawanunulia meli mpya watu wa Nyasa. Lilikuwa changa la macho, hazipo kwenye bajeti, au atatoa mfukoni mwake, KJ bwana.
 
Kuhusu UDA anasema kama kuna mtu amenunua hisa za UDA ameingia choo cha Kike. Anasema kama mwenyekti wa kamati ya mashirika ya umma UDA haijauzwa.

Huyu Robert Simon Kisena safari hii sijui ataenda kumpiga nani....maskini OCD wa Maswa alikula kichapo bosi wake akamruka na kusema hayo ni mambo yao binafsi....popote alipo huyu OCD atakuwa anasali jamaa apate adhabu yake akishuhudia!
 
HTML:
Mkuu wa nchi wakati wa kampeni si alisema atawanunulia meli mpya watu wa Nyasa. Lilikuwa changa la macho, hazipo kwenye bajeti, au atatoa mfukoni mwake, KJ bwana.[/QUOTE]

Wakome kuchagua baby face.
 
LABDA ILA TUTAONa

Mkuu naangalia bunge sasa,anaongea Zambi! naona km inawezekana isipite kweli mkuu!!!!ila CCM wajue huu ukweli ndo sasa kaburi lao....serikali hii si sikivu ndo maana tuko hapa sasa amesema zambi! ccm kwisheni
 
Sasa ni Godfrey Zambi (CCM), ameanza kwa kusema haungi mkono hoja asije akasahau baadae.

Anasema sakata la UDA ni ukaidi wa viongozi wa Dar es salaam, anasema nchi hii ina serikali mbili? anapendekeza halmashauri ya jiji la Dar es salaam ivunjwe, amesikitika sana Kapuya amehusika moja kwa moja lakini akakubali kuwa kwenye kamati ya uchunguzi. Anamuomba waziri mkuu atoe tamko la kuvunja halmashauri ya jiji la Dar. Anasema Meya wa jiji la Dar amehusika moja kwa moja pia.

Anasema pesa zimeingizwa kwenye account ya Iddi Simba na nyingine kwenye account ya Pride ambayo Mkurugenzi wake ni Idd Simba.

Anaendelea kusema kama serikali ya CCM tunasema ni sikivu, mbona haisikii, tunajicontradict wenyewe.
 
Endelea kjutujuza mkubwa...Ngeleja kashachukua umeme wake
Deo sanga anazungumzia kuhusu UDA lakini ameomba viwanja vya ndege njombe na iringa vitengenezwe,

pia hajaona bajeti ya kununua wala kukarabati boti wala meli kwa watu wa nyasa.

Na yeye anasema ataunga mkono hoja kama wataongeza fedha.

Hii yangu: Mkuu wa nchi wakati wa kampeni si alisema atawanunulia meli mpya watu wa Nyasa. Lilikuwa changa la macho, hazipo kwenye bajeti, au atatoa mfukoni mwake, KJ bwana.
 
Enzi za ba Mkapa haya yangetokea bungeni? Nani wa CCM angesimama hasiunge mkono hoja? Mapinduzi haya japo madogo yameletwa na nani? Nijuze
 
Sasa ni Godfrey Zambi (CCM), ameanza kwa kusema haungi mkono hoja asije akasahau baadae.

Anasema sakata la UDA ni ukaidi wa viongozi wa Dar es salaam, anasema nchi hii ina serikali mbili? anapendekeza halmashauri ya jiji la Dar es salaam ivunjwe, amesikitika sana Kapuya amehusika moja kwa moja lakini akakubali kuwa kwenye kamati ya uchunguzi. Anamuomba waziri mkuu atoe tamko la kuvunja halmashauri ya jiji la Dar. Anasema Meya wa jiji la Dar amehusika moja kwa moja pia.

Anasema pesa zimeingizwa kwenye account ya Iddi Simba na nyingine kwenye account ya Pride ambayo Mkurugenzi wake ni Idd Simba.

Anaendelea kusema kama serikali ya CCM tunasema ni sikivu, mbona haisikii, tunajicontradict wenyewe.

good job
 
Enzi za Mkapa angalau kazi ilikuwa inaonekana! Mkapa alikuwa mkali sana kwa mawaziri wake. Na hata ukiangalia pesa nyingi ya EPA na madudu mengine yalifanyika mwishoni kabisa wa utawala wake tena alipokuwa ameanza kuumwa miguu mara kwa mara. Serikali ya Mkapa ilikuwa inaweka malengo na inayasimamia kwa nguvu zote!

Hii serikali ya sasa ukiwauliza wameshafanya nini cha maana tangu waingie madarakani watajibu nini?
 
Mh Zambi anazungumzia Tazara, anasema Mkurugenzi wa Tanzara Mzambia alikula dola mil 10, anasema hajachukuliwa hatua yoyote, anaiomba serikali ichukue madaraka, ichukue hatua na haya yanaonyesha serikali haiwajali wananchi wake, anasema lazima tuonyeshe tunawajali hawa waliotuingiza humu ambamo tunalipana posho.
 
Sasa ni Godfrey Zambi (CCM), ameanza kwa kusema haungi mkono hoja asije akasahau baadae.

Anasema sakata la UDA ni ukaidi wa viongozi wa Dar es salaam, anasema nchi hii ina serikali mbili? anapendekeza halmashauri ya jiji la Dar es salaam ivunjwe, amesikitika sana Kapuya amehusika moja kwa moja lakini akakubali kuwa kwenye kamati ya uchunguzi. Anamuomba waziri mkuu atoe tamko la kuvunja halmashauri ya jiji la Dar. Anasema Meya wa jiji la Dar amehusika moja kwa moja pia.

Anasema pesa zimeingizwa kwenye account ya Iddi Simba na nyingine kwenye account ya Pride ambayo Mkurugenzi wake ni Idd Simba.

Anaendelea kusema kama serikali ya CCM tunasema ni sikivu, mbona haisikii, tunajicontradict wenyewe.

Hawa akina Zambi watoke tu huko CCM; vyama viko vingi na huu ndio wakati wakujipambanua na kujionyesha rangi zao...sio huku wanapinga; mara wanageuka wanaponda tena upinzani na kushangilia CCM nambari one. wanajua kuwa sasa nchi haina ''uongozi'' inaendeshwa na magenge ya ''wahuni''. Anzia ile orodha ya mwembe yanga, orodha ya EPA, waliopokea stimulus package, hela za Deep green, meremeta,Radar, N.k haya ndio magenge yanayongoza nchi!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom