Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

Mbowe ameisasambua na ameomba wabunge wote kuacha tofauti zao na kutoipitisha bajeti hii na hili ndilo linalotokea.
Anaongea sasa Anjela Kairuki nae haungi mkono hoja
 
Mbowe ameisasambua na ameomba wabunge wote kuacha tofauti zao na kutoipitisha bajeti hii na hili ndilo linalotokea.
Anaongea sasa Anjela Kairuki nae haungi mkono hoja

ahsante kwa updates kaka, usichoke kuzituma..
 
wabunge wanataka wote walioshiriki kwenye mkataba wa kuuza UDA wakamatwe mara moja, hii ni pamoja na meya wa jiji, mkurugenzi na bodi yote ya UDA na Takukuru wachunguze uingizwaji wa fedha zilizolipwa na mwekezaji kwenye account ya mtu binafsi. Mbunge wa Mafia (CCM) povu limemtoka ameongea kwa uchungu sana.
 
Pamoja na hilo usishangae tangazo kusikia kuwa wabunge wa ccm kukutana mchana, then baada ya muda budget inapita.
Si waamini kabisa wabinge wa ccm.
 
Pamoja na hilo usishangae tangazo kusikia kuwa wabunge wa ccm kukutana mchana, then baada ya muda budget inapita.
Si waamini kabisa wabinge wa ccm.

Umeongea ukweli mtupu.Kelele zinazopigwa na wabunge wa CCM ni bure.Bajeti inapita tuu.
 
Kuna uwezekano mkubwa hii bajeti isipite kwa namna wabunge walivyo na hasira na hii wizara hasa Uhuni uliofanywa na Meya wa Jiji la Dar na Bodi nzima wameambiwa wajiuzulu haraka sana na wawekwe ndani uchunguzi ufanywe juu yao,maneno ya Mbunge wa Mafya Mh Shaa
 
Umeongea ukweli mtupu.Kelele zinazopigwa na wabunge wa CCM ni bure.Bajeti inapita tuu.
Karibu wowowo, mimi nawapa 'benefit of the doubt' wabunge wa ccm kwa leo, ikipita hii basi hata ile 1% trust niliyokuwa nayo kwao itaondoka.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nimeshuhudia mchangiaji wa mwisho, Stella Kairuki (Viti maalum-CCM), ameongelea sana suala la TRL na TAZARA, kuna mengi kayasema ambayo ni uchafu unaondelea ndani ya serikali kwa kutowajibika ipasavyo na mwishoni akasema "siungi mkono hoja mpaka ufafanuzi utakapotolewa"
Kwa mujibu wa mtangazaji wa TBC1 takribani wabunge watano waliopata nafasi ya kuchangia hoja hii, hakuna hata mmoja aliyeiunga mkono.
 
Jamani ilibidi niache kazi nisikilize hiyo bajeti. Mbowe amemzodoa Waziri mkuu na kumshangaa kwamba inakuwaje madudu hayo wayajadili kwenye baraza la mawaziri. Amezungumzia ulaji wa KIA na mabo kadhaa
Mama Maria hewa ( CCM) amesema ni aibu sana kwa serikali kutokujua umuhimu wa reli ya kati. Ameomba wabunge wasiipitishe bajeti hii. Amehoji ulaji wa pesa za ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, na umakini wa waziri kufufu ATCL
Naye mbunge wa Mafia (CCM), ameipinga na kumwomba waziri mkuu awakamate Meya wa DAR and wale wawili walioamua kujiuzia UDA. Ametaka TAKUKURU iingilie kati swala la UDA na isiangalie uso wa mtu mpaka kieleweke . Amepinga Bajeti
Naye Kariuki (CCM) ameonge kwa uchungu na kuipondelea mbali bajeti kwa kutojali mipango ya Reli.
Kwa ujumla Omar Nundu ameonekana mtupu kabisa na Baraza zima la mawaziri limumbuka.
Kama hawatazimwa mchana, bajeti hii haipiti!
 
Hii ni kama unaangalia ''recorded match'' ambayo tuseme iliisha bilabila.
Kwa ujuha wa wabunge wa chama flani ambao ndio majority itapita tu.
Hapo hata ukiona mtu kabaki na goli wazi ujue hafungi, au hata akifunga goli litakataliwa.
Hawa jamaa wanaweka sana tumbo na uchama mbele kuliko maslahi ya taifa.
 
Yaani wakati tunapiga vita udini kwa nguvu zote,imeibuka mijitu yenyewe imekaa kichamachama tu no maslahi ya taifa! Kila kitu yenyewe ni chadema and ccm!! Kafilie mbali na uchama wako
Haya yanayoendelea sasa bungeni ni kutokana na moto wa Chadema kuwaamusha wabunge wa CCM ukweli ndio huo.
<br />
<br />
 
Duh!! Kaazi kwekikweli. Yote tisa kumi tusubili Ijumaa wakati Wizara muhimu sana nchini ya Kazi na Ajira itakapokua inasoma bajeti yake: sina uhakika utendaji wa Makongoro Mahanga
 
Back
Top Bottom