Bajeti ya Wizara ya Afya: Waziri hajaomba fedha za kupambana na Corona?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,189
103,710
Nimepitia bajeti ya Wizara ya Afya.

Waziri ameishia kutoa stori ya corona ilipoingia ukurasa 43 mpaka 48. Sijaona akieleza fedha zilizokwisha tumika katika mapambano ya corona. Sijaona akiomba fedha za corona.

Waziri ameleta takwimu za watu waliopimwa joto lakini ameruka mtego la kutaja idadi ya watu waliochukuliwa sampuli mpaka hivi sasa.

EXBFcGoWkAABieH.jpeg

EXBFcGzWsAEPIGz.jpeg

EXBFcGyWsAg06Fc.jpeg
 
Attachments

  • 1588245798-Hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya.pdf
    7.6 MB · Views: 2
Nimepitia bajeti ya Wizara ya Afya.

Waziri ameishia kutoa stori ya corona ilipoingia ukurasa 43 mpaka 48. Sijaona akieleza fedha zilizokwisha tumika katika mapambano ya corona. Sijaona akiomba fedha za corona.

Waziri ameleta takwimu za watu waliopimwa joto lakini ameruka mtego la kutaja idadi ya watu waliochukuliwa sampuli mpaka hivi sasa.

View attachment 1437768

View attachment 1437769

View attachment 1437770
Hela ya Corona iko kwenye fungu la Wizara ya Fedha!
 
Nimepitia bajeti ya Wizara ya Afya.

Waziri ameishia kutoa stori ya corona ilipoingia ukurasa 43 mpaka 48. Sijaona akieleza fedha zilizokwisha tumika katika mapambano ya corona. Sijaona akiomba fedha za corona.

Waziri ameleta takwimu za watu waliopimwa joto lakini ameruka mtego la kutaja idadi ya watu waliochukuliwa sampuli mpaka hivi sasa.

View attachment 1437768

View attachment 1437769

View attachment 1437770
Una paste yote haya ya nini wewe? Tangu Januari ni bajeti gani inayotumika? Kwani hapo umeona pesa za mafuriko na kipindupindu? Unafuata mambo ya CHADEMA na elimu duni yao wewe! Tangu lini ugonjwa wa dharura ukapangiwa bajeti ya mwaka.
 
Back
Top Bottom