ukabu JF-Expert Member Dec 9, 2011 212 68 May 3, 2017 #1 Leo ilikua Siku ya kusomwa bajeti ya Wizara ya afya ..kwa mwenye hotuba ya Mheshimiwa Wazir anipe
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member May 8, 2013 9,552 24,164 May 3, 2017 #2 Kweli Mkuu.. Mwenye nayo hii hotuba atuwekee hapa pls.. Maana hali ni MBBBAAAAYYYAAAA sana kwenye hospital na vituo vya afya vya serikali. Hakuna Madawa kabisa.
Kweli Mkuu.. Mwenye nayo hii hotuba atuwekee hapa pls.. Maana hali ni MBBBAAAAYYYAAAA sana kwenye hospital na vituo vya afya vya serikali. Hakuna Madawa kabisa.