Bajeti ya ulinzi wa Marekani ni kubwa sana kuliko China. Hii ina maana gani?

Jayfee

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
310
1,040
Mbona budget nikubwa ivi mara 3 ya uchina?
IMG_20210523_174252.jpg
 
Wizara ya ulinz ya us kwa kiwango kikubwa inahudumiwa na mashirika binafs hii inapelekea baadh ya huduma kuligharimu kiwango kikubwa cha pesa tofaut na China wizara ya ulinz inategemea kiwango kidogo cha baadh ya vifaa nje ya mfumo wake.
 
Pia kumbuka USA ni muungano wa mataifa zaidi ya 49. Pia ni polisi wa dunia russia na china zina weka balance ili kusiwe na uwonevu kutoka kwa USA kwa mataifa mengine
Kinachonishangaz ni io distance ya fedha ni kubwa mno
 
Mkuu USA Noma ,yaani chukua bajeti ya France, German, China,UK, and Russia, zoote hazifikii ya USA, afu mtu anaropoka pumba kuhusu USA
Kweli mkuu hii budget unaweza ku concern nchi kubwi ata 20+ ndo waifikie io budget ya USA.
Inashangaza sana..
 
Kinachonishangaz ni io distance ya fedha ni kubwa mno
Budget ya wizara moja tu ya USA nadhani ni budget ya 20yrs au zaidi huku kama sikosei. In short usiangaike kufa anisha budge za nchi super power au tajiri na budgets za Tanzania Kenya au generally EAC utasikitika we soma kupata knowledge tu
 
Back
Top Bottom