Naona tayari utekelezaji wa bajeti umekwama.
Tra,benki kuu,makampuni ya simu,mabenki ni malumbano tu.
Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Ataenda Rwanda kuomba ushauri msijali wadanganyika
Ufipa mshindwe na mlegee.Naona tayari utekelezaji wa bajeti umekwama.
Tra,benki kuu,makampuni ya simu,mabenki ni malumbano tu.
Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Acha mawazo finyu ww ! Hapo Uzi unajieleza juu. Ofic ya chadema imeingiaje? Ndiyo maana mnafeliUfipa mshindwe na mlegee.
Kama kujenga ofisi nzuri ya chadema imewashinda hakika ya Magufuli hamtayaweza.
Jengeni ofisi basi .hiyo bar mliyopanga kwa miaka 20 haiendani na tambo zenuAcha mawazo finyu ww ! Hapo Uzi unajieleza juu. Ofic ya chadema imeingiaje? Ndiyo maana mnafeli