Bajeti ya Tanzania ya mwaka wa fedha 2017/2018 nikiini macho :

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,344
1,531
Wanajamii amani iwe kwenu!
Ikumbukwe kuwa waziri wa fedha na uchumi wa Tanzania Dk Philip Mpango, atawasilisha
bajeti ya serikali ya tano ya Dk John Joseph Pombe Magufuli kwa mara ya pili kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma mapema mwezi huu. Akiongozwa na sheria na 11 ya mwaka 2015 ya Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dk Philip Mpango atawasilisha bajeti hii huku kukiwa na kiza kinene dhidi ya ile ya mwaka wa fedha 2016/2017 iliyofikia Tzs Tr 29.5. Itakumbukwa kuwa hii ndio bajeti kwa mara kwanza tangu kuwepo kwa Tanzania ililazimisha biashara zaidi ya mil 20 kufungwa katika miji na majiji mbalimbali Tanzania bara na Visiwani.
Ndio Bajeti iliyoshuhudia ma-bank na taasisi nyinginezo za kifedha zikiongeza riba (annual interest) ili kukidhi mahitaji ya bajeti hii hiyo chungu.
Chukua mfano bank ya NMB ilipandisha riba kutoka 18% in reducing balance/bases to 24% hii ni kwa watumishi pekee yaani salary workers loan wanaita (SWL).
Hii ni sawa na ongezeko la 6% ikiwa ni sawa na ongezeko la 3mil katika kila mil 10 kwa kila miaka mitano ya muda wa mkopo (tenor).
Hili lilichangiwa na ukosefu wa amana( deposit as the running fuel of the bank) hili ni zao la sera mbovu za Dk Philipo Mpango la kuweka fedha zote za serikali kwenye akaunti moja yaani " central main account) .
Huku akijua kabisa anapunguza liguidity kwenye commercial banks (bank za kibiashara) NMB,CRDB,TPB, NBC, BOA (hii ni kama float ya m-pesa) kwa sasa ma-bank hayana float kwa lugha rahisi kabisa.
Itakumbukwa serikali ya Tanzania imewekeza kiasi cha zaidi ya Tr 22 kwakumiliki hisa kwenye makampuni na taasisi mbalimbali ikiwemo TBL,TTCL,ATC ,TRL etc
Lakini cha kushangaza mwaka 2016/17 serikali ilipata net profit ya bil 460 ni ajabu na kweli.
Hivyo pato pekee la inchi yetu ni kodi (income Tax) ambayo kwa mujibu wa Dk Philip Mpango anasema tulikusanya Tzs Tr 15.37 sawa na 79% huku tarajio likiwa ni Tzs Tr 19.455 sawa na 100% kitu ambacho si kweli (
kila mwezi tr 1.2- Dk Magufuli) .
Pato hili ni pamoja na mikopo ya ndani ambayo ni zaidi Tzs Tr 3.5 sawa na 78% ya malengo.
Nakufanya deni la ndani kufikia Tzs tr 11.1 kitu ambacho ni hatari kiuchumi( Ni sawa na kukopa hela za bia kwa mkeo).
Ndio maana NSSF,PPF,PSPF,NHIF ziko hoi kiuchumi kiasi cha kufuta fao la kujitoa (withdrawing benefit).
Huku misaada na mikopo nafuu ikiwa ni Tzs Tr 1.2 sawa na 40% na kwa taarifa tu wahisani waligoma kusaidia Tanzaniaya zaidia ya TzsTr 2.1 kwa sababu ya swala la Zanzibar.
Wakati hayo yakiendelea deni la Taifa limekua kwa kasi na kufikia $ mil 19,021.9 sawa na Tzs tr 42.45 hizi ni takwimu za mpaka Dec 2016 achilia mbali mkopo IMF wa flayover wa Tzs Tr1.7 naule wa STD gauge wa zaidi ya Tr 17 na kufikia Tzs Tr 61.15 sawa na $ 30,500.

Itakumbukwa marejesho ya sasa ya mikopo ya ndani na inje (EMI) ni Tsh mil 500 kila mwez huku mishahara ikifikia takribani mil 600 sawa na Tsh Tr 1.1 ikiwa ni matumizi ya kawaida ya kila mwezi nakadiri siku zinavyokwenda mikopo mingine inakuwa due for payment.
Nimpongeze kwa kukotrol mfumuko wa bei toka 6.5 mpaka 5.0 kwa mwaka 2016/2017

BAJETI YA MWAKA 2017/2018
Dk Philip Mpango atawasilisha kiini macho kingine cha bajeti fikirika ya Tsh tr 31.69
Katika bajeti hiyo mapato ya ndani yatakuwa takribani Tzs Tr 19.97 sawa na 63% ya bajeti ambapo kodi ni Tzs Tr 17.10 sawa 85.6% sawa na Tzs Tr 1.425 kila mwezi hili haliwezekani.
Kwenye hiyo tr 19.97 halmashauri zote inchini pia zitatakiwa kuchangia kiasi cha Tzs tr 2.871 sawa na bil 240 kila mwezi kitu ambacho hakiwezekani
Kwa mujibu wa Dk Philip Mpango Wazungu watachangia Tzs tr 3.97 sawa 12.6 % Je kwa hali ya kisiasa ilivyo inchini wazungu hawa watatoa hizo pesa kama mazingira ni yaleyale?
Tutakopa tena ndani Tzs tr 6.15 na hapa ndio mwisho wa mashirika haya ya hifadhi za jamii
Itakumbukwa Mkapa kwa miaka yote 10 aliliacha deni la ndani likiwa Tzs tr 4.73 pekee.
Jakaya Kikwete miaka yake yote 10 aliliacha likiwa 7.6 na Dk John Joseph Magufuli kwa mwaka mmoja pekee amelipeleka hadi Tzs Tr 17.25 hili si afya kiuchumi.
--Matumizi mengineyo yaani (OC) other charges yatakuwa Tsh tr 3.03
Fedha za maendeleo ni Ts tr 11.99 ( Fedha za ndani ni Tzs tr 8.96 na wasihasi ni tr 3.02)
Dk Philip Mpango anawaomba wazungu Tzs takribani Tr 6 je watampa?
Dk Philip Mpango anategemea kukusanya Tzs Tr 20 je inawezekana?
Swali la Msingi Waziri wa uchumi na fedha Dk Philip Mpango ni
"
Kama unategemea kukusanya Tsh tr 1.4 na ukatumia Tr 1.2 (madeni na Mishahara pekee) hiyo Tzs Tr 8.96 ya fedha za maendeleo utatoa wapi?"

Mungu ibariki Tanzania na watu wake."
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu"
Tanzania is the only country we have"

Hiyo ni budget ya kwenye karatasi lakini sio budget kihalisia.
 
Wacha kwanza iwasilishwe na sisi pangu pakavu tuisome,usitulishe matango pori kwa vipande vyako vya kuunga unga
 
Mmmmmmh naona kuna dalili ya kulipishwa faini kufika elf 50 na traffic.... natamani nikiamka asubuh niwe brunei!!!
 
Tupe basi na Bajeti ya Chadema yako ili tuione kama siyo kizungumtitu.
 
Kama Ni kweli haya,
Basi tumepata serikali ya ajabu Sana toka uhuru Wa nchi hii.

Sasa mnapomsifia kabana matumizi Ni yapi mbona deni limekua kubwa?

Hela zinapotelea wapi?

Au BOT panavuja?
 
Watu wanapenda sana kuwa viongozi wakati kichwani kwao ni kweupe peeee. Uongozi ni kazi ngumu sana. Yangu macho.
 
Alafu ukiuliza unaitwa mpiga dili!!!

Embu naomba mniambie kipau mbele kwa bajeti hii ni nini??
 
Back
Top Bottom