Bajeti ya Tanzania ya Kambi ya Upinzani Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

mawaziri vivuli kazi zao ni pamoja na kutengeneza bajeti mbadala.Ila kwa UKAWA waziri kivuli kazi yake ni kuandika bla bla kuhusu bajeti iliyowakilishwa na serikali.

Kuwa waziri kivuli ni sawa na kuwa waziri kamili ni kama unasema mimi ningekuwa waziri kamili anayetawala bajeti yangu ingekuwa hii hapa.Lakini hawatengenezi.Kazi yao kuangalia tu hapa na pale kwenye bajeti ya serikali kupasemea kisha wanasaini wanachukua posho mbio wanaenda kula nyama choma na kitimoto.

Acha uongo wewe najua kutokana uvivu ujasoma chochote hapo au ujaelewa ndomana unaongea vitu havieleweki penda kusoma
 
Ingekuwa vzr kama wapinzani wangekuwaga wanatoa budget yao mbadala siku chache kabla ya ile ya serikali ili wasiegemee tu kuangalia na kukosoa kila kitu, hapo ndo ingekuwa vizuri zaidi, lakini sasa wanachokifanya ni kuiangalia budget ya serikali na kuanza kukosoa bila mbadala halisi ambao unaweza kuonekana kuleta tija na uhakika wa maendeleo ya taifa

umeisoma bro?
 
from what i know bajeti mbadala uwa inaonyesha madhaifu katika bajeti kuu na wala si kama wengi mnavohisi kwamba watasoma budget yao ili ninyi mfanye ulinganishi wa budget mbili .....ukitaka kuelewa ili fwatilia budget ya nchi kama canada au usa miaka ya 90 .....alafu jinsi gani mapato yatapatikana imeandikwa kwa tulio soma yote tumeona wavivu wa kusoma amuwezi kuona.
 
Bro Tarime what are the principles of budget?Wamefanya event analysis what are those events?Unatarajia wapinzani watengeneze bajeti?halafu inaonekana na Wewe ni mvivu wa kusoma , haujaona bajeti Yao mbadala Mkuu, Je those events are they relevant ?
Those events are total west of time on this platform. Opposition should provide alternative budget and proof to us why they different from the government and show to us how CDM would have funded your pledges. Sio quotations Kama tunafanya home work
 
What next?

Usiangaike kuchangia hapa Jamvini soma kwanza hotuba ya Waziri Kivuli wa Fedha, mbona ina mambo mengi na wametoa sababu na mbadala najua wewe ni mvivu na ndio maana unaleta propaganda, narudia nenda kaisome kwanza
Kwenye suala la kununua ndege na chenji kubaki [ufisadi]kama ilivyoelezwa na baadhi ya wanasiasa, sioni kama ni sawa kwani ununuzi wa ndege unahusisha mambo mengi km mafunzo ya marubani[check out/validation] engineers/technician, technical support during the guarantee period na mambo mengi.
Cha msingi ni kwamba baada ya bajeti kupita michanganuo halisi ya kiufundi itakapo julikana.
 
Asanteni kwa kutufuta changa la macho. Nasikitika sana kuona usanii kiasihichi kwenye bajeti ya serikali. Ni matumaini yangu kua Raisi wetu hakuhusika kwenye usanii huu. Na kama kunawatu katika serikali yake waliamua kufanya udanganyifu huu kwa makusudi wachukuliwe hatua haraka. Upinzani kweli ni muhimu kuisimamia na kuishauri serikali.
 
Hongera kambi rasmi ya Upinzani kazi nzuri mnatufumbua macho,pamoja nA kutohudhuria vikao hoja tunaziona zina mashiko ingawa vilaza na wao wanaendelea kusapoti bila takwimu
 
Nimekuja mbio nikijua upinzani umetengeneza bajeti mbadala inayoonyesha mapato shilingi ngapi na yatatoka wapi ,matumizi ya kawaida na maendeleo nk kumbe ni longo longo tu na umbeya.
Nilitarajia kuona bajeti nzima mbadala ya ile ya serikali lakini naona tu porojo tu zimejaa za mpiga filimbi wa hamelini kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Amna kitu kirahisi kama kupinga ,kimbembe ni pale unakabidhiwa majukumu uyatende wew ,kazi ya kambi ya upinzani ,ni pamoja na kutoa mbadala wa hicho ukicho kipinga
 
Mbona hueleweki? Yaani wapinzani waende wakanunue Ndege? Badala ya kukemea halafu ya ufisadi katika mchakato mzima wa ununuzi wa hizo Ndege ambao unaenda kufanyika, kutoka katika serikali ya hapa kazi tu inayojumulisha na ufisadi ndani yake. Naona Yale ya MV Bagamoyo yanaenda kujirudia tena.

Kaka CCM hawataki UPINZANI sababu inaonyesha maovu ya CCM.Kwa hiyo nimeiandika kwamba tunawaainga sababu wanatunyima kula
 
Mkuu

Mkuu sasa unataka watuletee ndege zenye mdondo, ndani ya mwaka tuu zife, hv hata wewe mkeo hakimuagizia mtoto wako gari used kwa bei ya gari mpya utanyamaza tuu na kumuacha haiagize?

Kaka mbona ndizo zilizoagizwa kwa sasa au???Unajua kwanini ulimuondoa Bungeni Halima Mdee??Huyu Kaka anatuharibia ndoana yetu.Tumeshaweka sawa 10%.Kwa hilo unatka Tuwapende UPINZANI???

Kaka acha kabisa PESA kwanza TAIFA baadaye
 
Back
Top Bottom