Bajeti ya Tanzania ni kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya Tanzania ni kiasi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ZeMarcopolo, Mar 9, 2009.

 1. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Katika speech hii [ame=http://www.youtube.com/watch?v=2UZgQzwYFqo]YouTube - ALC '08: Issue Forum—Pres. Jakaya Kikwete[/ame] Rais JK anasema kuwa bajeti ya Tanzania ni USD 7 bil. Katika hotuba ya waziri wa fedha ilianishwa kuwa bajeti ya nchi ni sh. trilion 4.7,
  Je kipi ni sahihi?
   
 2. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45

  Budget ya Tanzania ni $7.0billion ambazo ni sawa na Tsh 7.?? trillion, kwenye budget hiyo hiyo 4.7 trillion ni zile kodi ambazo Tanzania inakusanya, na zilizobaki 2.3 trillion wanategemea wahisani:

  $7.00billion ni sawa na nusu na faida ya miezi 3 kampuni kama GE ni robo ya faida ya kampuni ya Exoomobil ya miezi 3, ni sawa na pesa walizonazo watu binafisi wenye kampuni za mafuta uko Marekani.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na wakati huo huo bajeti yah chuo kikuu cha Havard ni $3 billioni kwa mwaka yaani almost nusu ya bajeti ya nchi!!!!!!!
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  watu wanaokula benefit au jobseeks allowance UK ni £12bn = 16.8096 billion U.S. dollars

  kazi ipo bongo tambarare
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sawa na hela ya tajiri mmoja india au marekani. tehetehe.
   
 6. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nadhani si vibaya pia wakati tunajadilijadili hii thread tujiulize, wananchi wa Tanzania wanachangia asilimia ngapi ya fedha katika bajeti kupitia kodi wanazolipa.
  Pia tuendelee kujiuliza katika nchi nyingine zenye mtandao mzuri wa kulipa kodi wananchi huchangia asilimia ngapi kwenye bajeti zao kutoka kwenye kodi wanazolipa.
  Nina wasiwasi (ukiondoa biashara) individual taxpayers ni wachache mno.
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tanzania wafanyakazi wanalipa kodi kubwa kuliko wafanyabiashara percentage wise. Kila mwezi watu hukatwa zaidi ya asilimia 10 ya mshahara kama PAYE. Wafanyabiashara hawalipi kodi bali wana act kama agent wa kukusanya kodi toka kwa wateja na kuipeleka serikalini.
  Tanzania ukusanyaji kodi umefail kwa kiwango kikubwa ndio maana bajeti inakuwa finyu. Bakhressa alone ana annual turnover recorded plus unrecorded yenye value sawa na hii bajeti, je serikali inashindwa vipi kupata mapato makubwa zaidi ya Bakhressa???
   
 8. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Good observation, Je na sisi wananchi wa kawaida mbona hatulipi chochote kwa maana ya kodi. Mimi niponipo silipi kodi wala siulizwi ninafanya biashara ndogondogo lakini zinanipa uhakika wa kuishi mjini. Hapo hapo ninataka serikali inihudumie matababu na kunilipia gharama za watoto wangu shule. Kwa kifupi biashara yangu haichangii kipato chochote serikalini au kwenye bajeti. Je, mimi sio mnnyaji kweli?
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nyingi ya hizo biashara ndogondogo, na mahitaji mengine hununuliwa tayari kukiwa na VAT translation kwa consumer. Hivyo basi unless hununui kitu au huduma yeyote basi kodi unakuwa hulipi in absolute terms. Halafu kama alivyosema Zemarcopolo hapo juu huwa inashangaza yaani mtu mwenye say mshahara wa 1m per month atajikuita analipa kodi kubwa ambayo ni 30% above Tshs 540,000.00 mark. Ukilinganisha na mfanyabiashara mwenye capital inayozunguka ya 100m.
   
 10. K

  Koba JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...wewe kweli Punda maana ni kama unakula majani ya bure porini,ila pole sana na uwezo wako mdogo wa kuelewa,ila kukusaidia kodi unalipa tena kubwa sana kuliko unavyofikiria,mfano unaponunua lita ya mafuta ujue zaidi ya nusu ya bei ni kodi ambayo unailipa wewe au mwenye gari ambaye naye anakulipisha wewe kwenye nauli yako..anyway kodi unalipa ndugu yangu kupitia VAT au namna nyingine mabayo inabidi ujifunze!
   
 11. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Inawezekana ni kweli unayoyasema, lakini pia tujiulize kwa hicho kichache serikali yetu inachokipata toka kwenye kodi na sehemu nyingine inakitumia vipi katika kuwaboreshea wananchi maisha ili nao waone umuhimu wa kulipa kodi zaidi?. Ukifanya kazi ya kujaza maji kwenye ndoo unategemea ndoo itajaa, lakini kama ndoo ina tobo maji hayatajaa kamwe.
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2016
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sehemu ya turnover yake huwagawia viongozi na familia zao kisha haguswi
   
Loading...