Bajeti ya tanzania na matekelezo

MASTER VOICE

Member
Dec 16, 2010
7
0
Tanzania ni moja ya nchi amboyo inawawakilishi wanao tetea na kulinda maslahi ya wananchi moja ya jambo muhimu linalotekelezwa na wawakilishi ni kupanga bajeti na kusimamia utekelezaji, lakini inashangaza sana kuona kila mwaka bajeti huwa inapangwa lakini sidhani kama utekelezaji wake unafwatwa kwan bei ya vitu hupangwa katika mjadala wa bajeti lakini katikati ya mwaka kwa bajeti ileile iliyopitishwa vitu vinapanda tena kwa bei ya juu.Sasa je wana JF wenzangu kwa mtindo huu kunaulazima wa kuwa na bajeti wakati mambo yanaenda kiholela na je wanaosimamia utekelezaji kweli wapo makini na kazi yao?
 
Ni muhimu kuwa na bajeti, tatizo tulilo nalo ni hao wanaosimamia utekelezaji wake!
 
"if you are walking in the serengeti and the lion attacks, climb a thorn tree and wait there for a while"
can't we protest against these hykes?
 
Natambua kweli ni muhimu lakini kwa tanzania hakuna matekelezo kiasi umuhimu wake unapotea na mbaya zaidi viongozi wakubwa wanayaona lakin wanayafumbia macho kwakuwa kwao si tabu kwa maana maisha bora kwa wachache na bora maisha kwa wengi Tanzania.
 
Back
Top Bottom