MASTER VOICE
Member
- Dec 16, 2010
- 7
- 0
Tanzania ni moja ya nchi amboyo inawawakilishi wanao tetea na kulinda maslahi ya wananchi moja ya jambo muhimu linalotekelezwa na wawakilishi ni kupanga bajeti na kusimamia utekelezaji, lakini inashangaza sana kuona kila mwaka bajeti huwa inapangwa lakini sidhani kama utekelezaji wake unafwatwa kwan bei ya vitu hupangwa katika mjadala wa bajeti lakini katikati ya mwaka kwa bajeti ileile iliyopitishwa vitu vinapanda tena kwa bei ya juu.Sasa je wana JF wenzangu kwa mtindo huu kunaulazima wa kuwa na bajeti wakati mambo yanaenda kiholela na je wanaosimamia utekelezaji kweli wapo makini na kazi yao?