Bajeti ya tanzania kununua meli na kujenga viwanja vya ndege na mawazo ya nape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya tanzania kununua meli na kujenga viwanja vya ndege na mawazo ya nape

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moses Kyando, Jun 17, 2011.

 1. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau najiuliza hivi zile ahadi za JK za kununua Meli na kuifanya Tanga jiji la Viwanda zimo kwenye bajeti hii. Maana Nape anapouliza ama kusema CDM wamewadanganya wananchi ameasahau mara hii ahadi za Chama Chake na tofauti za ahadi hizo na bajeti hii ya kuwakomoa walevi
   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  we hao CCM wamechanganyikiwa, mfa maji aachi kutapatapa
   
 3. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NLISHAANZA kushangaa eti ipite siku humu hajatajwa Nape ingekuwa maajabu ya mwaka.. Jembe lao endeleeni kumjadili. Pamoja na kwamba mmejitahidi baada ya kiwachachafya kupunguza thread zake humu ndani. Pumbafu kumbe
   
 4. N

  NIMIMI Senior Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe wengine mnayajua maneno mabovu wenzenu wakisema watafungiwa kwenu ruksaaaa, na je zile ahadi za mh. Mbona hakuna hata moja ktk bajeti hii ama zitakuwepo kwenye ijayo?
   
 5. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nape ni mpayukaji na mtu asiye na vission hivyo si vyema kujadili upumbavu wa mtu. Achana nae
   
Loading...