Fahami Matsawili
Senior Member
- Mar 8, 2018
- 172
- 153
Katika kufungamanisha Ukuaji wa uchumi na Maendeleo ya Watu, Serikali yetu ya awamu ya Tano chini ya Rais wetu John Pombe Magufuli imechukua hatua Madhubuti katika Kuboresha Upatikanaji wa huduma za jamii kwa Wananchi Afya, Elimu, Maji katika maeneo ya mijiji na Vijijini...
Katika Bajeti ya 2020/21 Serikali imetoa misamaha ya kodi karibu 60 ambayo ipo kwenye sekta ya kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Viwanda hizi ndio sekta zinajumuisha Wananchi wetu wengi...
Bajeti inayoangalia Ushirika na Vyama vya Msingi vya Wakulima wetu huko Vijijini namna ambayo Ushirika na Vyama vya ushirika na Msingi vinakwenda kusimamia imara na kuwasaidia wakulima wetu wanufaike na Mazao yao,
Bajeti inayoangalia suala la Bima ya kilimo sote tunajua sekta ya kilimo imezingirwa na changamoto ya Ukame na Mafuriko hivyo bajeti yetu kuangalia eneo hilo la Bima kwenye kilimo ni Ukombozi kwa Wakulima wetu nchini..
Nimemsikia Zitto Kabwe kesho ataongea kupita Facebook kuchambua bajeti kuu ya Serikali 2020/21 nimshauri tu arudi bungeni tu huko Facebook atawahutubia Matangopoli wanachama wake tu ambao ndiyo friends wa account zake za mitandao ya kijamii kazi ya kuelimisha Umma tushamaliza.