Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,478
- 30,492
Mwigulu hafai kuwa kiongozi wa watu labda msafara wa panya.Mama aliletwa SMT na Mzee Kikwete na huo ukweli aliusema siku analihutubia bunge.
Hawezi kuwa na ujasiri wa kumpinga JK na ukizingatia ni mama ndio ushawishi wa awamu ya nne unavyozidi kujikita.
Mwigulu pia ni nguvu ya JK kufika alipofika hivyo hawezi kupindua kwa ushawishi wake.
Mwigulu anafaa uwaziri na hafai kabisa kuwa rais.