Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Yaani hakuna mvuto wowote Kama zamani,mm nimejua kupitia jukwaa hili nilikuwa sijui chochote aisee
Mvuto utaanza kuupata pale rungu la kodi litakapoanza kukucharaza....., Na litacharaza Kweli... Kweli....
 
binafsi naona bajeti imegusa sehem nyingi na kutoa unafuu na ahueni Kwa watanzania isipokuwa kwenye suala la ongezeko la bei ya mafuta na miamala ya simu
 
Nilikuwa namuheshimu Sana Kaka Mwigulu, kumbe mnafiki Sana na uwezo wake ni mdogo sana. Nakumbuka alivopwaya Mambo ya ndani, Sasa huku fedha anapigwa tu na watendaji yeye amebaki na tai bendera tu.

Suala la Mama kunifunza kwa JK Ni matusi na dharau kwa Mama na mwendazake pia, Mama alikuwa makamu wa JPM alijifunza huko, mabaya na mazuri aliyaona. Tufurahi kwamba mabaya anayarekebisha kwa kasi nzuri lakini bado hatujaona kasi ya kuboresha mazuri ya JPM.

Mama Yetu asione tabu kujitathmiini na kufanya mageuzi.
 
Ndo utajua mtu mweusi si wakuamiani hata kidogo, pia huyu mama naona ana entertain huu upuuzi kwa kumsema mwenzie but na yeye ajue akiondoka hawa hawa watamsema vibaya sana kuliko hata JPM kwa maana yeye anamapungufu mengi sana
Watamnanga
 
Lishenzi kabisa, halistahili hata ukatibu tarafa,linapayuka tu kusifia ili lisiondolewe kwenye uwaziri wa fedha,nywana gete.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom