Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
3,976
2,000
Yote tisa kumi ni kuongeza Kodi kwenye petrol. Hawa dawa yao ni katiba, tukutane tarehe 1
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
2,829
2,000
Hakika MAMBO Yamekuwa MAMBO
Ununuzi wa
Mafuta-TOZO
Barabara Vijijini-TOZO
Kifurushi-TOZO
Kutuma/Kupokea
Pesa-TOZO
KODI KODI KODI kila Mahali.Wapinzani Mkituchelewesha Sana BUNGENI
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
12,426
2,000
Awamu hii wanyonge watakiona cha mtema kuni. Sisi wengine kitambo tulishazoea kuumizwa kupitia PAYEE, nk.
 

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
6,497
2,000
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022...
Hii bajeti fedha zilishafika kulikoelekezwa?
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,490
2,000
Eti bodaboda na madiwani waneemeka, watanzania kufunga mkanda🤔,
Watanzania ni kina nani na bodaboda,madiwani ni kina nani?
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,466
2,000
Mikopo ya nje yenye masharti ya kibiashara ilifikia shilingi trilioni 1.68 sawa na asilimia 88.1 ya lengo.


Hii itatutesa mwanzo mwisho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom