MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Hao ni waandishi misukule.Hata hivyo vipeperushi vyao havina hadhi ya kuitwa magazeti vina hadhi ya karatasi za chooni tuuuuuuuuuuuuuuu.
Taratibu mkuu
Hao ni waandishi misukule.Hata hivyo vipeperushi vyao havina hadhi ya kuitwa magazeti vina hadhi ya karatasi za chooni tuuuuuuuuuuuuuuu.
Nipe muongozo mkuu,spining ndo kitu gani??''turns quickly around??'' au ??
Utashangaa Serikali inakenua meno badala ya ku-clarify. Hawajui kuwa wanafuga bomu zito. Wafanyakazi wengi watakuwa wamefarijika kwa kujua mishahara itapanda with effect from tarehe 1 July. Sasa wakienda Bank mwisho wa mwezi halafu wakute hamna kitu ndo hapo sasa litakapoanza timbwili
Nipe muongozo mkuu,spining ndo kitu gani??''turns quickly around??'' au ??
TTOZI BWEKA= zitto kabwe. tehe tehe! Wangwana kweli mna mambo
Kweli mkuu magazeti yanaandika ili yauze tu, jana mi nimeuliza hapa jf tafsiri ya kupanda 40.2% nikapata ufafanuzi wa maana leo nachek vichwa vya habari kwenye tv nkabaki nacheka tu.magazeti yanaandika habari tu ili kuuza magazeti,hawafanyi uchunguzi wa kina kujua mishahara imepanda ama laa,na kama imepanda kwa kiasi gani...eti imepanda kwa 40% !!! tht is not true....mishahara imepanda kiduchu sana....magazeti acheni uvivu wa kutafuta habari ,we will damp your newspapers soon...be realistic and you will earn our respect...
SERIKALI imetangaza bungeni kuwa itatutumia Sh3.2trilioni katika mwaka wa fedha 2011/12, ambazo pamoja na mambo mengine zitapandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa kuzingatia vigezo maalumu, ikiwamo mfumuko wa bei za bidhaa na huduma.hongera Jk. CDM walidandia agenda. kama kawaida yao