Bajeti ya Mishahara kupanda kwa zaidi ya asilimia 40!

Vitoto vya UDOM vitanikoma

Sikutegemea kama hii nchi na hii forum ya kisomi ina watu wajinga,wapumbavu,washenzi na waliolaaniwa kama wewe.........hivi unapata mshahara kwa kufanya umalaya? Acha ujinga wewe............Habari hizo peleka huko facebook kwenye mitandao yenu ya kijinga.........Pumbavu wewe unaleta kinyaa hapa.........Unadhani dhambi hiyo itakuacha? Tegemea kuwa mke wako na watoto wako nao watafanyiwa unyama na ushenzi huo huo.........
 
Ndugu mbona jazba na mitusi vipi?Hivi mwenzetu umeielewa vipi post ya womanizer?Au kwa vile akili yako imejaa uovu na ufuska basi kila kitu unakitafsiri katika mrengo huo?Halafu unasema ni forum ya wasomi,na wewe ni msomi?Unayetukanatukana hovyohovyo?
 
Hilo haliwezekani,mkulo angesema badala ya kutupia management ya utumishi wa umma
 
WAKATI Bajeti ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ikiwa imepitishwa na Bunge kwa kuacha fumbo la nyongeza ya mishahara kuteguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, taarifa za awali zinabainisha kuwa mishahara inaweza kupanda kwa asilimia zaidi ya 40. Kwa mujibu wa taarifa hizo kutoka katika duru za kiserikali, ongezeko hilo la zaidi ya asilimia 40 linagusa viwango vyote vya mishahara serikalini kuanzia kima cha chini ambacho ni Sh 135,000. Hata hivyo Raia Mwema halijaweza kuthitisha rasmi asilimia halisi ya ongezeko kutoka Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa kuzingatia ukweli kuwa jukumu hilo linapaswa kutamkwa kwanza na Waziri husika, kwa mujibu wa sheria namba 16 ya mwaka 2003. “Mshahara utapanda sana na ni zaidi ya asilimia 40, mambo yatakuwa mazuri tu kwa watumishi wa umma, lakini Waziri ndiye mwenye jukumu la kutangaza nyongeza hiyo kwa kuzingatia matakwa ya sheria,” kilieleza chanzo chetu cha habari serikalini, huku taarifa zaidi zikieleza kuwa mbali na mshahara, marupurupu mengine yanaweza kuongeza zaidi kipato cha mfanyakazi wa kima cha chini hadi kufikia takriban sh 300,000. Mgogoro wa nyongeza ya mishahara umedumu kwa muda mrefu, huku Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) chini ya Kaimu Katibu Mkuu wake, Nicholaus Mgaya wakiongoza shinikizo dhidi ya Serikali. Katika kushinikiza huko, mwaka jana TUCTA walihamasisha mgomo wa wafanyakazi wa umma nchi nzima hatua iliyomsukuma Rais Jakaya Kikwete kutoa maelezo maalumu mbele ya wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam akionya kuwa wanaotaka kugoma watachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria. Baada ya mvutano huo, Serikali iliendelea na mazungumzo ili kufikia muafaka kuhusu kiwango kipya cha mshahara na hadi katika maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi, mwaka huu, zilizofanyika mkoani Morogoro, uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kuwa bado hapakuwa na makubaliano rasmi kati ya Serikali na TUCTA kwa niaba ya wafanyakazi. Hata hivyo, katika maadhimisho hayo ambayo Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi, katika hotuba yake alieleza kuwa Serikali imesikia kilio cha wafanyakazi lakini akibaki kimya katika kutamka namna kilio hicho kilivyotatuliwa. Kutokana na Rais Kikwete kukwepa kutamka suala hilo kwenye maadhimisho ya Mei Mosi, huku minong’ono ikisambaa kuwa kima cha mshahara kuongezeka, wengi walitaraji kuwa ingetamkwa katika Bajeti ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa Fedha na Uchumi, Jumatano, wiki mbili zilizopita. Katika hotuba yake hiyo, Mkulo alidokeza tu kwamba mishahara hiyo itapanda lakini hakueleza ni kwa kiwango gani na akasema kuwa hilo ni jukumu la Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa umma, ambaye anatarajiwa kufanya hivyo wakati atakaposoma Bajeti yake, wiki kadhaa zijazo. Gazeti hili liliwasiliana na Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Mgaya ambaye alisema si jukumu lake kutaja nyongeza ya mishahara kwa kuwa hilo ni jukumu la Waziri wa Utumishi kisheria.
Ukichunguza mambo mengi yaliyomo kwenye bajeti ya hivi majuzi utaona inajengeka picha nzuri ya matumaini kuwa maisha yanakwenda kuwa nafuu. Lakini ukikaa chini na kuipekua kwa kutumia logic tu hata bila haja ya utafiti utakuta mengi ni ndoto na hadithi za watoto kabla ya kulala isiku. Watapandisha mishahara kwa asilimia 40 kwa mbinu ipi wakati hela za kuendeshea serikali sasa hivi wanakopa? Kwa miezi kadhaa sasa watumishi wanacheleweshewa mishahara kwa sababu ya fedha kutokuwepo. Hizo nyongeza wamezitoa wapi leo?
 
Sikutegemea kama hii nchi na hii forum ya kisomi ina watu wajinga,wapumbavu,washenzi na waliolaaniwa kama wewe.........hivi unapata mshahara kwa kufanya umalaya? Acha ujinga wewe............Habari hizo peleka huko facebook kwenye mitandao yenu ya kijinga.........Pumbavu wewe unaleta kinyaa hapa.........Unadhani dhambi hiyo itakuacha? Tegemea kuwa mke wako na watoto wako nao watafanyiwa unyama na ushenzi huo huo.........
Nimekushika pabaya, una wadogo zako pale, au wanakuchapia? Hayo siyo maneno ya kutoka kwa rijali, mimi ndiyo mwenye maamuzi na mshahara wangu mkuu na hayo ni maoni yangu.
 
Nimekushika pabaya, una wadogo zako pale, au wanakuchapia? Hayo siyo maneno ya kutoka kwa rijali, mimi ndiyo mwenye maamuzi na mshahara wangu mkuu na hayo ni maoni yangu.
Mods upo? Mtu kama huyu anatakiwa aende kwenye jukwaa linalomfaa, siyo hili.
 
Nimekushika pabaya, una wadogo zako pale, au wanakuchapia? Hayo siyo maneno ya kutoka kwa rijali, mimi ndiyo mwenye maamuzi na mshahara wangu mkuu na hayo ni maoni yangu.

Wakamue tu mkuu,maisha ndiyo haya kula bata kwa kwenda mbele!
 
Kwa 40% ni ngumu kwani magamba yameshatoka? Tuendeleeni kulia na kusaga meno huku tukisubiri muujiza wa Mwenyezi Mungu!
 
Vitoto vya UDOM vitanikoma

Na wewe ni Great Thinker? Labda Great Sinker.

Sikutegemea kama hii nchi na hii forum ya kisomi ina watu wajinga,wapumbavu,washenzi na waliolaaniwa kama wewe.........hivi unapata mshahara kwa kufanya umalaya? Acha ujinga wewe............Habari hizo peleka huko facebook kwenye mitandao yenu ya kijinga.........Pumbavu wewe unaleta kinyaa hapa.........Unadhani dhambi hiyo itakuacha? Tegemea kuwa mke wako na watoto wako nao watafanyiwa unyama na ushenzi huo huo.........

hii ni fikra ya face book!

Ndugu mbona jazba na mitusi vipi?Hivi mwenzetu umeielewa vipi post ya womanizer?Au kwa vile akili yako imejaa uovu na ufuska basi kila kitu unakitafsiri katika mrengo huo?Halafu unasema ni forum ya wasomi,na wewe ni msomi?Unayetukanatukana hovyohovyo?

Nimekushika pabaya, una wadogo zako pale, au wanakuchapia? Hayo siyo maneno ya kutoka kwa rijali, mimi ndiyo mwenye maamuzi na mshahara wangu mkuu na hayo ni maoni yangu.

Mods upo? Mtu kama huyu anatakiwa aende kwenye jukwaa linalomfaa, siyo hili.

Wakamue tu mkuu,maisha ndiyo haya kula bata kwa kwenda mbele!

!!!!!!!!???????????

Haya yanahusika na hii hoja kweli au ndio yale ya wajapani kuwa Mjapani mmoja ni sawa na wastani wa watanzania kumi na mbili (12) kiakili!

Kama walitumia sample hizi yamkini matokeo lazima yaonyeshe hivyo.
 
Mishahara ilishapandishwa kipindi kabla ya uchaguzi,kwa sasa ni kurasimisha tu.
 
watu wengine bwana, kuna uhusiano gan kati ya kupanda kwa mishahara na wanafunzi wa UDOM, acha ushambenga wewe try to analyse things critically
 
Mwamkataa shetani.. .Ndiyo twamkataa...na mambo yake yote...na fahari zake zote
Hiyo sala hakuwahi kuisikia, labda alikuwa anamiezi 3 tangu azaliwe. A'fu hayo ni ya padre na litrujia yake. Yeye hayamhusu. Msamehe tu, maana kimtokacho mtu, ndicho kimjaacho moyoni!!!
 
Back
Top Bottom