Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia.

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

Nakuelewa Sana Mama Samia
 
Huyu mama anatishaaaaaaaa
 
Najua hili limekwisha
 
Sanaa tuu hizi , mwisho wa siku wakati wa kampeni mtaambiwa sasahivi mtaanza kunywa na kufulia maji ya kilimanjaro ama hill nchi nzima, kuna watu wana mtindio wa ubongo kabisa humu
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia.

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

Mkubwa unaemzunguzia ambae ni Mama Samia mimi ni shabiki wake, na kutokana kuwa dunia yangu imerudi haraka sana kuliko pré -2015 .

Lakini chumvi ikizidi chakula kina haribika.

Mwendazake zake alikubaliana na serikali ya Índia kuhusu grant ya miradi ya Maji na tulipewa 600 million USD kama Trillion mija na nusu na Waziri Mkuu wa India Bw. Narendra Modi alipo tutembelea na kusaini msaada huo.

Ukweli ni kuwa mpaka Mwendazake anafariki hata robô ya hiyo pesa tulikua hatuja itumia.
Na hicho ndio kilicho muondoa Prof. Mbarawa katika baraza la Mawaziri bwana mkubwa aliporudi 2020 baada ya uchaguzi.

Baada ya kufanya performance appraisal vs resources allocated.
I was privileges to be among Members who did the appraisal.

Hakuna unacho poteza ukiwa mkweli , wote hao ni CCM tuu..
 
😍😍😍😍
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia.

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Back
Top Bottom