Bajeti ya laki nne naweza pata simu gani nje ya tecno,infinix,itel

trey007

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
703
1,000
Wakuu habari za usiku nipo mkoani Kilimanjaro napenda kuuliza kwa bajet yangu ndogo ya laki NNE mpaka NNE na nusu naweza pata simu gani nje ya techno na infinix.

MREJESHO
Wakuu nimefanikiwa kupata oppo f9 pro
Ram 4
Storage 64 kwa 370
Aisee machine nimeipenda mno mpaka sasa hiv bado ina asilimia 44 toka Nianze kudownload na kuzurura mtandaoni saa 11 aisee nashukuru sana kwa wale mlionielekeza mashine za oppo
 
trey007

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
703
1,000
Hiyo budget yako bado inakubakisha kwa Tecno na Infinix, unless utafute used kwa mtu. Otherwise endelea kubaki chamani
Ahsnte mkuu hata Samsung j5 tu sawa nimechoka kukaa na simu haiupgrade android na kila Mara matatizo kama system is not responding
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
16,781
2,000

Sasa hapo tatizo ni wewe na aina ya Tecno/ infinix uliyonayo. Me Tecno yangu mwakani June inatimiza mwaka wa pili na bado sijapata changamoto yoyote.

Android version yake ni 9pie
 
trey007

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
703
1,000
Sasa hapo tatizo ni wewe na aina ya Tecno/ infinix uliyonayo. Me Tecno yangu mwakani June inatimiza mwaka wa pili na bado sijapata changamoto yoyote.

Android version yake ni 9pie
Nna CX mkuu toka niwe na android niliyonunilia mpaka Leo watu wapo 11 mie mule mule japo hilo sio shida sana maana hata huko niendako siwez pata zenye flagship ya 10 lakin angalau nitakuwa nimesahau hii misukosuko Japo pia natamani nishike kifaa cha snapdragon
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
16,781
2,000
Nna CX mkuu toka niwe na android niliyonunilia mpaka Leo watu wapo 11 mie mule mule japo hilo sio shida sana maana hata huko niendako siwez pata zenye flagship ya 10 lakin angalau nitakuwa nimesahau hii misukosuko Japo pia natamani nishike kifaa cha snapdragon
Basi endelea kutunza hizo hela mpaka zifikie kununua hitaji la moyo wako. Au unaonaje?

Wengine sie simu ni anasa tu, maana matumizi yangu ni kupiga, kupokea, ku'sms na kusurf kwa net. Siwezi nunua simu ya kuzidi 350K labda nipewe 😀
 
trey007

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
703
1,000
Basi endelea kutunza hizo hela mpaka zifikie kununua hitaji la moyo wako. Au unaonaje?

Wengine sie simu ni anasa tu, maana matumizi yangu ni kupiga, kupokea, ku'sms na kusurf kwa net. Siwezi nunua simu ya kuzidi 350K labda nipewe 😀
Ngoja nifate ushauri wako wa kudunduliza kwanza
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,838
2,000
Basi endelea kutunza hizo hela mpaka zifikie kununua hitaji la moyo wako. Au unaonaje?

Wengine sie simu ni anasa tu, maana matumizi yangu ni kupiga, kupokea, ku'sms na kusurf kwa net. Siwezi nunua simu ya kuzidi 350K labda nipewe 😀
Basi nikupe S 10 + 😃
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom