Bajeti ya Kenya ndo kubwa East Africa,kizuri zaidi..

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
687
237
Bajeti hizo zilizotangazwa na mawaziri wa fedha wa nchi hizo sambamba na ile ya Tanzania, ni za Uganda, Rwanda na Kenya ambayo iliongoza kwa ukubwa wa bajeti.

Bajeti hizo zilitofautiana kwa kiasi kikubwa kutokana na mahitaji na vyanzo vya mapato kwa kila nchi.

Mwelekeo wa bajeti hizo pia umelenga kuongeza mapato kupitia vyanzo vya ndani kwa kuongeza ushuru na kodi kwenye vileo, vyombo vya usafiri na bidhaa za anasa.

Kenya Sh28.5 trilioni

Waziri wa Fedha wa Kenya, Henry Rotich alisema kwamba Bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka wa Fedha 2013/14 itafikia Sh1.5 trilioni za Kenya (sawa na Sh28.5 trilioni za Tanzania).

Bajeti hiyo ilisomwa jana bungeni jijini Nairobi, ndiyo ya kwanza kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyechukua madaraka hivi karibuni.

Moja ya ameneo muhimu yaliyopewa kipaumbele katika bajeti hiyo ni elimu, ambapo Sh17.4 bilioni (Sh330.6 bilioni za Tanzania) zimetengwa kwa ajili ya kukamilisha mkakati wa Serikali ya Jubilee wa kununua kompyuta ndogo 1,300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi.
 
Laptop 1,300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Primary?? Huku kwetu bado serikali ya CCM inajiuliza jee kuna mitaala au hakuna? Jee title ya kitabu iwe Jiografia au Jogorafia? Hili taifa ni la ajabu sana,Msigwa alisema tatizo ni kuruhusu akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Kwa ukweli kabisa tunatia aibu kama taifa. Rasilimali tulizonazo hapakuwa na sababu ya jirani zetu kutuacha mbali kimaendeleo ila kwa vile tuna Viongozi dhaifu,Bunge lililo jaa wabunge wa hovyohovyo na Chama kinachotawala kilicho jaa upuuzi hatuwezi songa mbele bali tutaenda mbele hatua 7 na kurudi nyuma 9.
 
Hahahaha! Baoloji/Baiolojia. Poor Tanzania
 
Mkuu, hii ni kusema kuwa: Kati ya watoto 10 hadi 15 wa shule za msingi huko Kenya watakuwa na access na laptop moja. That is a waw achievement!.
 
Miezi michache ijayo turajie uwapo wa laptop kibao za 'dili' Dar...

Naamini watakuwa werevu na kukaa chini kudesign laptop special kutokana na mahitaji ya watoto wa kenye kiujumla na Africa. Sio lazima ziwe hizi tulizo zoea hata zile za UN zilikuwa design special kwa ajili ya watoto na zilikuwa cheap. Nataka na wao waende step zaidi ya zile ikiwezekana hata assembling ifanyike Kenya kwani hizi ni nyingi na wanauweo wa kula dili Uganda, sudan, Tanzania na nchi zingine africa na kujikuta wanakiwanda chao.
 
bado nachoshwa na comparisons za kenya kwa tanzania, kweanini wasijifananishe na mataifa mengine, Tanzania tu kila siku??
 
kiujumla bajeti za kenya na rwanda zina uwazi na ubunifu katika vyanzo na matumizi,njoo 255 sasa...mtu yeyote anaweza iandaa kwasababu vyanzo ni vilevile tangia nanyonya hadi leo hii nna mvi kadhaa kichwani.
SHANTA
 
bado nachoshwa na comparisons za kenya kwa tanzania, kweanini wasijifananishe na mataifa mengine, Tanzania tu kila siku??
Wakenya hawana muda wa kufanya comparison ya mambo yao na sisi,toka lini mwenye afya akajipima na mgonjwa?
haya yana fanywa na Watanzania wenyewe baada ya kuona miyeyusho ya serikali yao ya CCM. Chama kinachojiita sikivu huku kikipewa ushauri mzuri kinazomea,kikipewa ushauri wa kijinga kinashangilia.
 
Magamba utayasikia, Oooh Tanzania ni kubwa sana sawa na kuziunganisha nchi zote za East Africa, wanasahau sisi ndo tuliopata uhuru mapema kuliko Kenya, sisi ndo tuna Rasilimali nyingi kuliko Kenya ikiwemo rasilimali watu, maji, ardhi, madini, wanyama, Mlima mrefu na sisi ndo tumezungukwa na nchi zote za East Afrika. Lakini tumekuwa 'Makubwa Jinga', tunaendekeza chama kuliko nchi.

Badala kuweka mikakati ya kufanya kila mkoa uwe kama Rwanda kwa maendeleo, tunakaa kungoa watu kucha na meno! Nadhani tunafikiri kwa kutumia masaburi, kwa akili ya kawaida Kenya haiwezi kutuzidi pato la Taifa kwa rasilimali tulizo nazo!
 
Laptop 1,300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Primary?? Huku kwetu bado serikali ya CCM inajiuliza jee kuna mitaala au hakuna? Jee title ya kitabu iwe Jiografia au Jogorafia? Hili taifa ni la ajabu sana,Msigwa alisema tatizo ni kuruhusu akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Kwa ukweli kabisa tunatia aibu kama taifa. Rasilimali tulizonazo hapakuwa na sababu ya jirani zetu kutuacha mbali kimaendeleo ila kwa vile tuna Viongozi dhaifu,Bunge lililo jaa wabunge wa hovyohovyo na Chama kinachotawala kilicho jaa upuuzi hatuwezi songa mbele bali tutaenda mbele hatua 7 na kurudi nyuma 9.

uku mbunge wa ukonga ccm akipinga wanafunzi wa secondary kutumia computer.
 
Kenya wananchi wake wako aggressive... Tatizo ni letu sote waTanzania sio Viongozi tu!
 
Bajeti hizo zilizotangazwa na mawaziri wa fedha wa nchi hizo sambamba na ile ya Tanzania, ni za Uganda, Rwanda na Kenya ambayo iliongoza kwa ukubwa wa bajeti.

Bajeti hizo zilitofautiana kwa kiasi kikubwa kutokana na mahitaji na vyanzo vya mapato kwa kila nchi.

Mwelekeo wa bajeti hizo pia umelenga kuongeza mapato kupitia vyanzo vya ndani kwa kuongeza ushuru na kodi kwenye vileo, vyombo vya usafiri na bidhaa za anasa.

Kenya Sh28.5 trilioni

Waziri wa Fedha wa Kenya, Henry Rotich alisema kwamba Bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka wa Fedha 2013/14 itafikia Sh1.5 trilioni za Kenya (sawa na Sh28.5 trilioni za Tanzania).

Bajeti hiyo ilisomwa jana bungeni jijini Nairobi, ndiyo ya kwanza kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyechukua madaraka hivi karibuni.

Moja ya ameneo muhimu yaliyopewa kipaumbele katika bajeti hiyo ni elimu, ambapo Sh17.4 bilioni (Sh330.6 bilioni za Tanzania) zimetengwa kwa ajili ya kukamilisha mkakati wa Serikali ya Jubilee wa kununua kompyuta ndogo 1,300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi.

Mkuu, ingekuwa vema kama ungetuwekea na nchi nyingine, kwani wengine hatjapata lolote.
mfano
1. Kenya=====tsh. 28.5
2. Tanzania====
3. Uganda=====
4. Rwanda=====
5. Burundi======

zote tuwekee kwa viwango vya hela za kitanzania kama ulivyofanya kwa kenya
 
Bajeti hizo zilizotangazwa na mawaziri wa fedha wa nchi hizo sambamba na ile ya Tanzania, ni za Uganda, Rwanda na Kenya ambayo iliongoza kwa ukubwa wa bajeti.

Bajeti hizo zilitofautiana kwa kiasi kikubwa kutokana na mahitaji na vyanzo vya mapato kwa kila nchi.

Mwelekeo wa bajeti hizo pia umelenga kuongeza mapato kupitia vyanzo vya ndani kwa kuongeza ushuru na kodi kwenye vileo, vyombo vya usafiri na bidhaa za anasa.

Kenya Sh28.5 trilioni

Waziri wa Fedha wa Kenya, Henry Rotich alisema kwamba Bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka wa Fedha 2013/14 itafikia Sh1.5 trilioni za Kenya (sawa na Sh28.5 trilioni za Tanzania).

Bajeti hiyo ilisomwa jana bungeni jijini Nairobi, ndiyo ya kwanza kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyechukua madaraka hivi karibuni.

Moja ya ameneo muhimu yaliyopewa kipaumbele katika bajeti hiyo ni elimu, ambapo Sh17.4 bilioni (Sh330.6 bilioni za Tanzania) zimetengwa kwa ajili ya kukamilisha mkakati wa Serikali ya Jubilee wa kununua kompyuta ndogo 1,300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi.
Na FISIWATU wa Magamba wamepanga billioni ngapi za kudhibiti CDM ikiwepo kumtuma Mwigu chembe majuu kubuni photoshop za video ili kuwamaliza CDM. Na kama computer zitakuja kwenye madarasa yapi? madawati yapi? Tutaachwe UCHI hadi tufanywe na Manyani!! SHAME CCM and your gang of looters; Akina AbdulNDOVU Kitembo! na Ndovu zetu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom