MILLIONS MOVEMENT
Senior Member
- Aug 2, 2012
- 148
- 54
Mkuu hili lafanyiwa kazi na tayari yupo Mkurugenzi wa Microsoft kwa ajili hiyo.Kutakuwa na Special kwa watoto wa Shule ya Msingi.Kamati imeshaundwa na miundomsingi yote inafanyiziwa kazi.Project itatoboa wala usiwe na shaka.Naamini watakuwa werevu na kukaa chini kudesign laptop special kutokana na mahitaji ya watoto wa kenye kiujumla na Africa. Sio lazima ziwe hizi tulizo zoea hata zile za UN zilikuwa design special kwa ajili ya watoto na zilikuwa cheap. Nataka na wao waende step zaidi ya zile ikiwezekana hata assembling ifanyike Kenya kwani hizi ni nyingi na wanauweo wa kula dili Uganda, sudan, Tanzania na nchi zingine africa na kujikuta wanakiwanda chao.