Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya, badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini?

Kaaya10

Member
Dec 11, 2017
37
50
Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini.

Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka wapi na kiasi gani kinatoka kwenda wapi.
Usianzishe jambo bila kujua gharama na faida zake.

Inaumiza Zaidi kuanza jambo na kuliacha nusu kwa sababu ya gharama kua kubwa au maandalizi hafifu ukiwa umepoteza muda na rasilimali.

Andaa bajeti.
 
Back
Top Bottom