Bajeti kuu 2019/2020 kuwasilishwa leo Bungeni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Leo June 13, 2019 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango atawasilisha na kuisoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, bungeni jijini Dodoma.

Katika mwaka wa fedha ujao, serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS 33.1 trilioni.
 
Jiwe ataiheshimu hiyo bajeti au ana ya kwake?
 
Harakati zilikuwa nyingi sana ikulu tangu Mpango aanze kuwasilisha bajeti ya wizara yake....mara gwajima, wafanyabiashara...sasa tegemea tukio jingine kubwa ili msijadali bajeti
 
Kwa mwaka wa fedha 2019/20

1. Kodi ya sigara itaongezeka kwa asilimia...

2. Kodi ya pombe itaongezeka kwa asilimia...

Waiting for the Tax increase declaration
 
Leo June 13, 2019 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango atawasilisha na kuisoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, bungeni jijini Dodoma.

Katika mwaka wa fedha ujao, serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS 33.1 trilioni.
Kambi ya Upinzani andaeni bajeti mbadala inayoonyesha Kama ninyi mngekuwa mngekuwa mumeshika nchi bajeti yenu ingekuwaje Hiyo bajeti mbadala ionyeshe mapato na vyanzo vyake in shillings matumizi in shillings na vipau mbele vya bajeti yenu Hatutaki zile porojo za kitoto za ooh naona tume ya uchaguzi mumeipa pesa nyingi hiz taarifa za ndani tunazo kuwa nyingi ni kwa ajili ya kunununua Wabunge na madiwani wa Upinzani ili waunge mkono juhudi za raisi na CCM !!!!?Spika wasipoleta bajeti usipokee na usikubali isomwe hiyo takataka yao.Bajeti inseleweka ikoje hata ukiambiwa tengeneza bajeti ya nyumbani Sio porojo.
 
Spika alikataa kisa imetaja jina la Halima Mdee!
 
Miaka ya nyuma kipindi cha spika mkwawa, msekwa, sitta, makinda bunge la bajeti lilifuatiliwa sana na kuvuta hisia za wengi, wiki moja kabla bajeti kuu haijasomwa ilikuwa kila kijiwe, kwenye daladala habari kuu ni bajeti mpya.

Cha kusikitisha uongozi wa huyu mic sijawahi kusikia mtu hata barabarani akijadili kuhusu bajeti kuu hata Mimi ndio hapa sasa hivi nasoma hii habari kumbe leo ndio bajeti inasomwa!

Furaha na sifa kuu ya kiongozi yeyote ni kuimarisha na kuipa umaarufu taasisi anayoingoza. Haki elimu wakitoa tafiti zao kuhusu taasisi zilizopoteza mvuto kwa miaka 5 hii ni namba moja.. hata atcl imekuwa maarufu kuliko hii
 
Fanya kazi ,uliwah sikia bajet za ulaya ,watu wako busy.
 
Mkuu watanzania wamechoka kujadili bajeti za hovyo zisizo na matunda yoyote za CCM, kifupi watanzania tumechika na ngonjera zao. wataosoma na kuijadili wao wenyewe itawasaidia wao na watoto wao, sisi tuko bize na kulima nyanya huku mkoani.
 
Kazi ipo

bajeti trillion 33 wakati mapato yetu yako mbali tu kufika trilioni 20
 
Miaka ya nyuma kipindi cha spika mkwawa, msekwa, sitta, makinda bunge la bajeti lilifuatiliwa sana na kuvuta hisia za wengi, wiki moja kabla bajeti kuu haijasomwa ilikuwa kila kijiwe, kwenye daladala habari kuu ni bajeti mpya.

Cha kusikitisha uongozi wa huyu mic sijawahi kusikia mtu hata barabarani akijadili kuhusu bajeti kuu hata Mimi ndio hapa sasa hivi nasoma hii habari kumbe leo ndio bajeti inasomwa!

Furaha na sifa kuu ya kiongozi yeyote ni kuimarisha na kuipa umaarufu taasisi anayoingoza. Haki elimu wakitoa tafiti zao kuhusu taasisi zilizopoteza mvuto kwa miaka 5 hii ni namba moja.. hata atcl imekuwa maarufu kuliko hii

salary huonengezi mvuto wa bajeti hakuna
 
Leo June 13, 2019 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango atawasilisha na kuisoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, bungeni jijini Dodoma.

Katika mwaka wa fedha ujao, serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS 33.1 trilioni.
Tunasubiri
 
Back
Top Bottom