Bajeti kambi ya upinzani na kukatika kwa umeme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti kambi ya upinzani na kukatika kwa umeme.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malolella, Jun 18, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanajf nipo hapa Dom kufuatilia mchakato wa bajeti. Sikubahatika kuingia mjengoni leo nikijiridhisha kufuatilia kupitia tv. Mhe Chenge..mwenyekiti kamati ya fedha na uchumi alipokuwa akihitimisha ili kambi rasmi ya upinzani ianze kutoa mapendekezo ya bajeti umeme ukakatika gafla hapa Dom, na mpaka sasa haujarudi. Kulikoni hawa tanesco? Je kuna mkono wa kigogo hapo ili wananchi wasisikie mapendekezo ya wapinzani? Wawasilisha.
   
Loading...