Bajeti ishapitaga ajira zipo wapi au ka mwaka jana na juzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ishapitaga ajira zipo wapi au ka mwaka jana na juzi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mchakachuaji, Oct 28, 2011.

 1. m

  mchakachuaji Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, bajeti ya serikali ya mwaka 2011/2012 ilishapita lakini hatujaona matangazo ya ajira wala ajira au ndio kama miaka miwili iliyopita? serikali isijisifu tu kwa idadi ya vyuo na wanachuo bali waaandae sera za kuwepo ajira manake hili ni bomu wanalojitengenezea, mfn. kiongozi mmoja anasema UDOM Itakua ikitoa wahitimu 40,000 kila mwaka ila hajasema watajiajiri/waaajiriwa wapi.
   
 2. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hizo wala usizitegemee zishatangulizwa Igunga kitambo mno, na ile ya miaka ile miwili iliyopita ilipelekwa kwenye uchaguzi uliopita hivyo usijiulize sana mkuu! hata sie huku tulitoa wagani kibao lakini hadi sasa wanasota kitaa bila mafanikio hadi wanatia huruma yaani walivopauka! Hii serikali ione hivi hivi, lakini one day watakoma tu...
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hakunaga.
   
Loading...