Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?

Utatofautisha kwa kuongeza neno "Mtoto wa muasisi wa chadema", haiwezekani yakafanana na ndio maana bei ipo juu, ili tupungue makabwela
 
Good move. Tunawajibika kuhakikisha nchi yetu haigeuki DAMPO la bidhaa chakavu (Simu, friji, kompyuta, magari, n.k.)

Ni hatua chungu kidogo kwa 'lower middle class' na wengineo, lakini hatuna budi kuanza sasa.

Hatua hii vilevile itapunguza maduka ya spare mjini, lakini labda biashara itahamia kule mitaa ya GEREZANI.
 
Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?

Mtapigwa tu Mtei 1, Mtei 2,na kuendelea, wewe binafsi ndio utakua na kazi ya kuwaambia marafiki zako yako ni Mtei namba ngapi.
 
  1. Tax Laws and Government Notices (GNs) granting Exemptions on Motor-Vehicles

  1. Madam Speaker, I propose to make amendments in the law that grants motor vehicle exemptions to various beneficiaries through Government Notices so that importation motor vehicles aged more than 8 years from the year of manufacture will now be subjected to the excise duty of 20 percent. The measure is intended to discourage importation of obsolete vehicles and preserve/protect environment.

Siungi mkono hoja!!!! kiwanda cha nyumbu kingekuwa kinatengeneza magari ningeamini sheria hii ni yetu. wengi hamtanielewa.
 
sijui wamejipangaje kupambana na wauza sura watakao tengeneza plate feki na kuzindika majina yao, ambazo nadhan zitatumika zaidi mida ya night na huku vijijini ambako TRA na polisi hawapo.

my take, wanatakiwa wajipange zaidi, la sivyo tutavuna mabua, huku trafiki wakiendelea kuneemeka na ulaji mpya...
 
Ni sheria ya kuhamashisha middle class ambao they are majority waingie kwenye rushwa tu
 
The measure is intended to discourage importation of obsolete vehicles and preserve/protect environment.

Kwa nini wasiwe wawazi? .. the reality is that this measure is obviously designed to cover for persistent dwindling revenues.
 
Mimi naona ingekuwa miaka 5 ingekuwa nzuri zaidi. Halafu kusingekuwa na ushuru wa magari chakavu isipokuwa ya "commercial" tu. Haya mengine madogo ingekuwa umeingiza la zaidi ya miaka 5 linakwenda kuuzwa kama chuma chakavu unarudishiwa hela yako baada ya kutoa gharama za bandari.
 
duh kabajeti kang kameshakuwa na deficit sasa...TZ 11 itabidi nitumie kwa mwaka mzima....
 
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?

Tena 5mil ni ndogo maana ili ufanikiwe katika mapato ni kuongeza gharama kwenye luxurious things, sasa kila mtu aki-afford kufanya hivyo hilo haliwezi kuwa luxury. Na hapo ili Chief Kiumbe, papa Msofe, Mzamil na wengine waweze kujitofautisha ni kuwapa motisha kama hii.

Unataka waweke gharama ya chini kwenye unnecessary things, unajua madhara yake ni kwamba identity ya nchi inapotea au inajificha kwa hiyo inabidi ifanyike kwa kuidiscourage kidogo
 
Mimi naona ingekuwa miaka 5 ingekuwa nzuri zaidi. Halafu kusingekuwa na ushuru wa magari chakavu isipokuwa ya "commercial" tu. Haya mengine madogo ingekuwa umeingiza la zaidi ya miaka 5 linakwenda kuuzwa kama chuma chakavu unarudishiwa hela yako baada ya kutoa gharama za bandari.

Mnacho kiwanda cha magari nchini kwenu? kama hamna msiwakwaze wenzenu kwa kushiba kwenu bagger ndio muwazuie kula ugali wa dona eti unasababisha uharibifu wa mazingira kwasababu zinatumika kuni kupikia ugali ukilinganisha na gesi kupikia bagger!!!!! ELIMU IKITUMIKA VIBAYA NI BOMU HATARI KUZIDI LA ATOMIC = mimi
 
Kuna watu wameweka majina yao sijui zamani ilikuwa kiasi gani.
 
Kazi ipo. Hizo hela ni nyingi mno. Naomba aliyenazo anipe nilipoe ada ya wanangu hawakupata mkopo.
 
Kuna watu wameweka majina yao sijui zamani ilikuwa kiasi gani.

Yap ni swali la msingi; kuna mtu anajiita Muganyizi 1. na Mike T naye nshakutana na gari yake kuieka plate number jina lake.
Yawezekana wameona demand ni kubwa ndio maana wakaona waongeze gharama"
 
Ya mwaka ujao tusishangae, ikija na style ya vyangu doa na mashoga kupewa lesini na kulipia kodi.
Eeh! Mungu ni chukue mapema kabla maandiko hayajatimia.. Wala usiogope mkuu hayo lazima yatatimia tu hata miaka mia ua elfu ijayo tena utasikia mbuge akilalamika kwamba serikari imepoteza pesa kwa kuchelewesha hizo leseni. ALIYE MSAFI NA AZIDI KUWA MSAFI NA ALIYE MCHAFU .......
 
Mnacho kiwanda cha magari nchini kwenu? kama hamna msiwakwaze wenzenu kwa kushiba kwenu bagger ndio muwazuie kula ugali wa dona eti unasababisha uharibifu wa mazingira kwasababu zinatumika kuni kupikia ugali ukilinganisha na gesi kupikia bagger!!!!! ELIMU IKITUMIKA VIBAYA NI BOMU HATARI KUZIDI LA ATOMIC = mimi

Ungekuwa unajuwa economics japo kiduchu ungeafikiana na mimi, nakuonea huruma kuwa una mawazo duni sana.

"bagger" ndiyo nini?
 
Back
Top Bottom