BAJETI imejaa ulaji wa wakubwa kupitia POSHO,Nitaipinga: MBUNGE WA KISESA { CCM }

Hii ndiyo inaitwa "pre-emptive' strategy. Wabunge wa CCM wameshanusa mood ya wananchi na wanaona wabunge wa CCM wataikosoa, sasa wanaanza kusema 'niko tayari kwa lolote'. Huku ni kuchezea akili za watu ili waonekane nao wanajali. Tuliona mwaka jana Mh Beatrice Shellukindo na Jairo. CCM walijua CHADEMA wamepata barua ya michango ya Jairo haraka haraka wakatafuta nakala na kumkabidhi Beatrice Shellukindo!
 
Huyu jamaa ndo ameapishwa bunge lililoanza juzi?naungana na wanaosema yote ni kwa sababu ya hofu ya kukataliwa 2015.lazima ajitoe hadharan ka filikunjombe tusome msimamo wake otherwise atakuwa sawa na kingwangala au esther bulaya
 
tunamsubiri wakati wa kupitisha kama atatoka nje ya bunge kuonyesha kutokubaliana nayo.kusubiri kusema ndiyo au siyo si njia muafaka bali kutoka nje kama chadema.
 
Mkuu huu ni utekelezaji wa ushauri uliotolewa na JK kuwa wabunge wa ccm lazima waisimamie serikali.

JK yupi? Yule wa zamani au huyu wa sasa? Thubutu yake aisimamishe bajeti...but as the old adage says, any divided kingdom will collapse! When would we see it more vividly?
 
Back
Top Bottom