Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Habari wakulima na wafugaji wenzangu,
Baada ya kufuga kuku wa kienyeji sasa nataka kuhamia kwenye kuku wa mayai ila nimeandaa bajeti ifuatavyo kwa ajili ya mradi huu. Nina mpango wa kuanza kufuga kuku 300.
1.Vifaranga 300 @ 2500 =750000
2.Nauli ya vifaranga =60000
3.Chakula kwa miezi 6 =1152000
4.Madawa =100000
Jumla Tsh 2062000
Makadirio ya Mapato kwa miezi 6 ya mbeleni
Kwa siku , Tray 6*6000 =36000
Kwa mwezi 36000*30 =1080000
Kwa miezi 6 1080000 *6=6480000
Mapato 6480000
Matumizi - 2062000
Jumla 4418000
Notes **** hapo sitakuwa na mfanyakazi wa kumlipa mshahahara kwani mradi uko nyumbaani hivyo familia ndio itakuwa inahusika
**** Nimeweka kuku watakaoweza kutaga ni 180 tu kwa siku ingawa idadi inaweza kuongezeka
*****Kwa upande wa chakula nitakuwa nanunua mahindi kwa wakulima kipindi cha mavuno vijijini
****, Mradi nimeuweka kwa miezi 6 kwani kipindi hiko kuku wa mayai ndio wanachanganya kutaga hivyo utakuwa unajiendesha wenyewe.
****, Banda na vifaa vya chakula na maji vyote vipo
Nahitaji ushauri, na marekebisho nilipo kosea,
Nahitaji kuanza mwezi wa kumi
Nipo Muheza Tanga