Bajeti Afrika Mashariki: Uganda waondoa VAT kwenye Utalii

Uganda wanaondoa VAT kwenye Utalii mwaka huu wa Budget

Uganda expected to drop VAT and other taxes on hotels - Atta News - Atta

-----Je Tanzania, mnafanyaje?

Nini Michango ya wabunge wa CCM na Upinzani?

VAT kwenye Utalii imeongeza idadi ya watalii hadi Million ngapi?

2015 ilikuwa 1.2 Million

Kenya walishaondoa budget mwaka jana 2016 na watudanganya sisi watz
Sekta ya utalii actually imekua, pamoja na kuwekwa kwa kodi ya VAT. I was shocked.
Tanzania sasaivi ni namba moja East Africa both in tourist arrivals na pesa zinazoingia nchini.
Nashauri serikali isiondoe hiyo kodi ibaki hapohapo.
 
Back
Top Bottom