Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,992
- 31,695
Unauliza vitu ambavyo unajua ukweli uko wapiHivi siku hizi kuna waziri kivuli yeyote? Budget yake inasemaje?

Iwepo ila utaraibu uwe unaeleweka mwakani watakuja kusema watakusanya kupitia mishaharaKwa hiyo wewe ulitaka isiwepo kodi ya jengo(MAJENGO)?
wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hii haipaswi kuitwa "KODI YA MAJENGO"...Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Mwigulu katokota sio kuchemka huko , watu walisema huyo kafoji kihiyo huyo sasa huu ndio uthibitisho .Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Nadhani wabunge wataijadili lakini after all itapita tu kama zinavyopita hizo nyingine kama vile kikokotoo kipya, kwani as long wao hiwaathiri moja kwa moja they don't careWabunge wenu wamekubali na imeshapitishwa sasa ni sheria. CCM ni mtetezi aa wanyonge kweli. Bia imetelemshwa bei na mabando ya simu juu. CCM hoyee!
Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Mkuu vipi nyumba za vijijini sasa, inajulikana ardhi ya vijijini haijarasimishwa kuweza kulipiwa kodi, na sasa umeme wa REA umeshafika maeneo mengi ya vijijini ambapo nyumba za tembe na nyasi zimewekewa LUKU, kwa hiyo waziri anataka kutoza kodi ya jengo kwenye makazi duni ya watu maskini huko vijijini?Mpangaji na mwenye nyumba ndio waangalie modality ya kulipana hiyo kodi ya jengo, ni njia sahihi kabisa kulipia kupitia LUKU. Sababu electronic payment method ndio njia za uhakika kabisa kulipia kodi, na kodi za nyumba zimekuwa hakuna njia yoyote ya kulipa, hii ya kulipa kwa kupitia LUKU ndio njia sahihi na itaondoa usumbufu wote
Mkuu JABALI LA KARNE, suala la Mpangaji kulipa Kodi ya Nyumba lipo wazi.Kodi ya nyumba analipa mpangaji maana katika kipindi cha upangaji nyumba ni ya mpangaji kama ilivyo kwa ardhi yote ya serikali ila mpangaji analipia kodi pia.
Wanyonge ?Mkuu vipi nyumba za vijijini sasa, inajulikana ardhi ya vijijini haijarasimishwa kuweza kulipiwa kodi, na sasa umeme wa REA umeshafika maeneo mengi ya vijijini ambapo nyumba za tembe na nyasi zimewekewa LUKU, kwa hiyo waziri anataka kutoza kodi ya jengo kwenye makazi duni ya watu maskini huko vijijini?
Ivi aliekuambia iyo Kodi wanalipa wapangaji Ni Nani? Kwani kwenye mkataba si inakatwa pesa ya jengo Tsh.10,000/=Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Kodi nyingi hapa Tanzania siyo shirikishiKitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Lakini wapangaji wakishaharibu nyumba mwenye nyumba uingia gharama kukarabati.Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Sio sinza kijijini je unalipa bodaboda hadi wilayani ukalipe kodiBajeti iko poa sana. Vitu vingi vimeshuka kodi au kusamehewa kabisa. Ilikuwa ngumu na gharama kubwa kukusanya kodi za majengo (TRA WANAJUA HILO) Mtu atoke sinza aende KINONDONI KULIPA ELFU KUMI AU 50000 KWA MWAKA? bora waingize huko ambapo hakutakuwa na ukwepaji wa hiyo KODI.
TUWE WAZALENDO, SISI KILA KITU TUNALALAMIKA KAMA WAPUMBAVU HIVI.
Ndio maana tunataka kujua ni kodi gani; kama ni income tax mwenye nyumba kabla ajailipa ana kitu kinaitwa allowable expenditures.Lakini wapangaji wakishaharibu nyumba mwenye nyumba uingia gharama kukarabati.
Me naunga mkono ikatwe kwenye luku sababu hata huyo mpangaji kuna siku atakuwa baba mwenye nyumba