BAJETI 2017/2018,,,,, ll

BAVARIAN

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
222
168
Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
70521246e9d85876ad4feb5b17a430a1.jpg
 
Hapo hapo wenye magari wanashangilia aise sijui tumerogwa na nani?
 
Tatizo la watanzania ni ujuaji. Mnajaribu kudhani mnafahamu kila kitu. Acheni wenye ujuvi wao waendeshe nchi. Kwanza kwa hizo xaxa zako tu unaonyesha ni mtu wa aina gani na sina uhakika kama angalau unafahamu ulichoandika. Msipotoshe watu. Hii bajeti ni ya ukweli. Wewe huna hata gari nahisi na hufahamu watu waliweza kukwepa kwa kiasi gani. Ukinunua gari used kwa mtu Dar mpaka ujiridhishe maana unakuta hajakata RL for 7 years or more. Ni kwamba kwa sasa hukwepi. Hongera Mpango.
 
let say labda lita 500-1000 mwenye gari lisilo na kazi nyingi
Lita 500 hadi 1000. Mnazifahamu vyema lita 1000? Gari ya matumizi ya kawaida haizidi hata lita 150 kwa mwezi kama unakaa bunju au ukonga. Labda uwe na Hammer ndiyo zungumzia lita 500 mpaka 1000. Na kama unaweza kumiliki hammer utashindwaje kumudu ongezeko la sh40 kwa mwezi?
 
tunatofautiana
 
Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
70521246e9d85876ad4feb5b17a430a1.jpg
Sio sh 300 kwa lita mkuu, ni sh 40!
Soma kipande hiki cha bajeti ya waziri wa fedha
Kufuta Ada ya Mwaka ya Leseni ya Magari (Annual Motor
Vehicle Licence Fee) iliyokuwa inalipwa hata kwa magari
ambayo hayatumiki ambayo imekuwa ikilalamikiwa kwa
muda mrefu, badala yake ada hiyo itatozwa kwa magari
yanayotembea tu, kwa sababu hiyo, Ushuru wa Bidhaa
kwenye mafuta ya petroli, dizeli na taa utaongezeka kwa
kiasi cha shilingi 40 kwa lita moja kutoka kiwango cha
sasa cha shilingi 339 kwa lita hadi shilingi 379 kwa lita
kwa mafuta ya petroli, kutoka kiwango cha sasa cha
 
Tatizo la watanzania ni ujuaji. Mnajaribu kudhani mnafahamu kila kitu. Acheni wenye ujuvi wao waendeshe nchi. Kwanza kwa hizo xaxa zako tu unaonyesha ni mtu wa aina gani na sina uhakika kama angalau unafahamu ulichoandika. Msipotoshe watu. Hii bajeti ni ya ukweli. Wewe huna hata gari nahisi na hufahamu watu waliweza kukwepa kwa kiasi gani. Ukinunua gari used kwa mtu Dar mpaka ujiridhishe maana unakuta hajakata RL for 7 years or more. Ni kwamba kwa sasa hukwepi. Hongera Mpango.
Ahaaaa !!! xaxa pointi yako ni ipi hapo ,,, manake mbona sioni unachoeleza naona unatoa povu tu ebu toa hoja tukusikie xaxa au ndo mmeshatumwa nn
 
Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
70521246e9d85876ad4feb5b17a430a1.jpg
Hiyo ripoti hewa ya upinzani itanisaidia nini labda??Kama kuumia nishaumia tu.

Ngoja nisubiri makinikia labda naweza farijika hata Kwa kucheka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom