Bajeti 2013/14: Tutegemee nini kwenye MMU? i.e urafiki, uchumba na ndoa etc

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Nimetoka kuipitia bajeti ya serikali mwaka 2013/14 kwenye tovuti na magazeti mbalimbali, najaribu kuitazama katika jicho la kimahusiano naona kuna kizungumkuti kikubwa. Bajeti italeta ugumu sana katika maeneo ambayo yanachochea mahusiano kukua katika ulimwengu wa leo. Mfano maeneo hayo ni kama vile usafiri(magari madogo), simu(mawasiliano), unywaji wa vileo(wine, amarula, beer etc) pamoja na mambo mengine mengi. Swali langu ni ili, Je tutarajie nini kwenye mahusiano, mapenzi na urafiki kwa mwaka 2013/14? Aina ya threads ambazo zitaanzishwa hapa zitakuwa za mema au ndio kukimbiwa na wachumba, wake na kutengwa na marafiki?:yell::nod:
 
Back
Top Bottom