Bajaji yatembea bila dereva na kuzua tafrani ubungo

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,583
Wakati nikiwa katika misele mitaa ya ubungo darajani nimekutana na kioja ambapo babaji ilitoka mahali ilipokuwa imepaki na kuanza kutembea kwa kasi kuelekea barabarani. Hali hii ilizua tafrani Kubwa kwa kuwa eneo hilo lina watu wengi. Lakini kwa juhudi za watu waliokuwepo walifanikiwa kukamata na kuiongoza kwenye njia salama na hatimaye MTU kupanda na kuiongoza vena..tukio hilo limeacha watu wakiwa hawana mbavu....ni hayo tu wakuu...iddi njema
 
Tz ya viwanda
 
nilivyofungua faster nikajistukia mwenyewe, wabongo ndo mambo yetu haya sio uchaguzi wala nini
 
hii habar ingeambatana na video ingekaa poa sna ila kwa sasa ni sawa na aladini na taa ya ajabu.
Mkuu muda wa kuchua video unautoa wapi wakati muda huo anajatibu kutafuta usalama.....
 
Back
Top Bottom